Mwaka mpya na mabadiliko

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Jamani wana jf tuombe mwaka 2011 uwe wa mema na fanaka maaana majanga kama
1. Kura kuchakachuliwa
2. Dowans madeni
3. Mgombea binafsi
4. Umeya utata wa majiji
5. Kura za maoni zilivyosaidia upinzani
6. ......
Ongezeeni jamani ili tuombeeee
 
Nilisahau na
6. Hukumu ya chenge
7. Sitta kutoswa uspika
8. Slaa kugombea urais
9. Magufuli na mwakyembe kupewa wizara moja ya ujenzi
10. .....
 
Back
Top Bottom