Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Wanajf mnakumbuka mwaka jana walimu wenye stashahada walichelewa kuajiliwa mpaka 24 jan.mwaka huu.Kutokana na hali inayojionesha kwa sasa kwa wale wa tcu na mikopo, nahisi mambo ya ajira kwa walimu yanaweza yakachelewa! NI MTAZAMO TU!