peter daudi
Senior Member
- Sep 16, 2012
- 112
- 30
Mwaka 2015 ni mwaka wa uchaguzi na kama kawaida utaendana na uboreshwaji wa daftali la wapiga kura. Huku mchakato wa katiba ukiwa umekula pesa ya kutosha. Kibaya zaidi ni Wahisani kutotoa pesa huku bajeti ikitegemea pesa kutoka kwa wahisani. Sasa Je? serikali ya tz itakuwa na uwezo wa kuajili mwakani hasa walimu?