Mwaka 2011,POLISI WALIKUA BUSY SANA!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nadhan hata bajeti yao yaweza kuisha mapema,walihusika na pilikapilika nyingi sana
1.KUZUIA VURUGU TARIME NA KUTELEKEZA MAJENEZA
2.KUZUIA VURUGU VYUO VIKUU,mfano udsm,udom,ARU,
3.Kashkash za maandamano na mikusanyiko ya CHADEMA
4.Mishemishe za uchaguz wa Igunga
5.HEKAHEKA ZA WAMACHINGA MBEYA
6....endelea
 
6.kuzuia maandamano ya wanafunz wa shule za msing ambao wenzao hugongwa na magari,mfano kigogo
 
Nadhan hata bajeti yao yaweza kuisha mapema,walihusika na pilikapilika nyingi sana
1.KUZUIA VURUGU TARIME NA KUTELEKEZA MAJENEZA
2.KUZUIA VURUGU VYUO VIKUU,mfano udsm,udom,ARU,
3.Kashkash za maandamano na mikusanyiko ya CHADEMA
4.Mishemishe za uchaguz wa Igunga
5.HEKAHEKA ZA WAMACHINGA MBEYA
6....endelea

Kuwabambikia makosa yasio ya kweli wapinzani wa serikali.....
 
10.Kusimamia bomoa bomoa yakionevu na kifisadi kule dodoma
11-kuwatetea mabwana zao mafixadi ccm kwa hali na mali
 
Back
Top Bottom