mwaka 2011 ni kitu gani kilichokukera?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
kwa mwaka huu kilichonikera ni mgao mkubwa wa umeme!!
Kingine ni mgao wa mafuta!!
Ongezeko la maandamano ya chadema!!
endeleza na wewe!
 
kwa mwaka huu kilichonikera ni mgao mkubwa wa umeme!!
Kingine ni mgao wa mafuta!!
Ongezeko la maandamano ya chadema!!
endeleza na wewe!

kilichowafanya chadema kuandamana ni kupinga hivyo vitu vilivyokukera sasa wao wamekukera wapi bora hata ukalale. Nitarudi baadae
 
Nimekerwa na wa-Tanzania kwa nini wakiwa wanaoga wanavua nguo na kubakia naked!
 
Nimekerwa kuona ofic ya ngeleja wakikamatwa kwa ufisad af bado wanapiga danadana badala ya maamuz magumu
 
...Msanii kuendelea kuwepo madarakani pamoja na ushahidi tosha kwamba kazi ya kuiongoza nchi imemshinda....nilidhani atajiuzulu lakini inaelekea "ULAISI" mzuri
 
Mimi kilichonikera ni wewe kuanzisha hii mada ambayo nilikuwa nimepanga niinzishe mimi.
 
Mengi tu yaliyonikera, waziri mkuu kulia bungeni, wabunge kujiongezea posho, ukumbi wa bunge kuwa kama sokoni kariakoo, jki kuchekacheka badala ya kuchukua hatua kwenye mambo mazito ya kitaifa, hela zetu za kodi kutumika ovyo kwenye miaka 50 ya uhuru, yaani ni mengi nikikumbuka yote nitalia bure!
 
Luhanjo
jairo
jk
ccm yoote
bila kumsahau
mademme spika
off all above ye ndo
kanichafua roho
 
Ngoja nikitoka jf nitakumbuka kilichonikera,
Kwan kila nikiingia humu kero zote nazisahu,
Hata sasa nina raha tu na sidhan km kuna siku nimekereka!!
 
Back
Top Bottom