Mwaka 1986 alikuwa mbabe akanipiga, 2016 kawa mpole hadi...

Stor kama hiz zimekua nying sana apa JF
ndio kimekuwa kijiwe .....mkuu

halafu zaidi zinanonyesha udhaifu fulani .................wasimulizi wote ni midume ........ni kama wanaziishi fantasy zao .......

kuna walakini kwenye hii jinsia yetu siku hizi
 
Duh! Mpaka leo hata kigari cha milioni mbili hujawahi kununua? Sasa uliwezaje kuendesha wakati hata gari huna? Uongo mwingine bhana...
 
Duh! Mpaka leo hata kigari cha milioni mbili hujawahi kununua? Sasa uliwezaje kuendesha wakati hata gari huna? Uongo mwingine bhana...
Aisee we nae una akili za kipuuzi sana mkuu, kwa hiyo wooooooote wanaoendesha magari humu mijini kumbe huwa unadhani ni ya kwao...... nilishasema.......nafanya mambo yenye kipaumbele kwanza kwangu, huwa sifanyi mambo kwa ajili ya kuiga au kufuata mkumbo, na nikiamua kununu gari cnunui mkweche wa sh 2ml.......anzia 10 ml na kuendelea
 
Ndio uchangamke sasa ununue hilo la M10... Umri unaenda. Kutokana na story yako inaonekana hauko chiniya forty years...
 
Ndio uchangamke sasa ununue hilo la M10... Umri unaenda. Kutokana na story yako inaonekana hauko chiniya forty years...
Gari nitanunua tu baada ya kuwa nimekamilisha mambo yaliyo ya msingi zaidi kwangu mkuu, sifanyagi mambo kwa kuiga......eti kwa kuwa Fulani kafanya hivi na mi lazima nimjibu kwa kufamya vile au zaidi yake, nakwenda kwa mipango, kama nimepanga nianze na hili halafu hili litakuwa la mwisho basi ivo ndo itakavyokuwa huwa cfanyi mabadiliko ktk mipango yangu bila sababu za msingi.......nadhani utakuwa umenielewa kiasi kwa maelezo hayo
 
ANZA KUTEMBEA NA VASELINE AU KY GELLY ITAKUJA KUKUSAIDIA SIKU MOJA TRUST ME....
Unaanza Kutangaza Biashara Yako ILIYOKUBUHU Ya Kuuza 0713 Wewe CHENJEU Yaani Huogopi Hata Mwezi Huu Wa Kwaresma? Ama Rafiki Zako Akina Amandus Wana Haki Ya Kukukimbia Kwani Ungewapa Nuksi Tuu Kama Sio Gundu.
 
Back
Top Bottom