Mwajiri wako anataka nini kutoka kwako?

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu. Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la kwanza wanalotaka ni i-uchapakazi ni mtu ambaye akiingia kazini na kuanza kazi mara moja na sio mpaka kusaidiwa muda wote,au kuelekezwa na mtu. ii-vilevile wanataka mtu mwaminifu wa fedha kumbukumbu na muda iii-team bulder(team worker) kushirikiana na wengine. Iv-kujieleza na kueleweka vizuri zaid. V-mbunifu,kuleta mawazo mapya kuangalia mbele. Vi-awe ni mtu wa malengo. Ndugu zangu ukiyafanya haya utadumu kazini. Fanya hvyo na utaona. source:GSHAYO
 
Asante sana mkubwa kwa maelezo yako mazuri ambayo kwa upande wangu nafikiri yanamfaa kila mtu aliyeajiriwa. pia yanamfaa mtu anaetafuta ajira ili ajue nini cha kufanya mara baada ya kupata ajira
Thanks
 
pouwa mkubwa check na kwenye hyo link kuna mambo kama hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom