Mwai Kibaki Vs. Jakaya Kikwete: Who is living up to the expectations of his people?

Watu Kama chama mtamuua tu atapambana hadi tone la mwisho la damu yake!
 
Chama,
Natamani ningekuwa na ujasiri kama wako

Mkuu suala ni dogo tu weka bajeti tuangalie maendeleo na nione vigezo gani mnatumiakwa sababu hata Kenya mamilioni ya raia wapo kwenye umaskini uliokithiri,Kibera slums ni moja ya slums kubwa duniani hiyo ni moja ya kipimo cha umaskini. Mkuu weka data najua wengi hamuongelei Kenya mnamaanisha Nairobi, situmii vigezo vya magorofa na flyover, nataka kujifunza kutoka kwako
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watu Kama chama mtamuua tu atapambana hadi tone la mwisho la damu yake!
Nataka kujifunza na kujielemisha, usinipe tu maneno matupu weka data za uhakika nione, sijakataa kuelemishwa ninachokataa ni kutiwa mchanga wa macho.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Let the truth be told...Mwai anaonekana mzee na yupo slow lkn kiukweli mambo yake yapo safi and i think Kenyans are proud of him.
 
Mkuu suala ni dogo tu weka bajeti tuangalie maendeleo na nione vigezo gani mnatumiakwa sababu hata Kenya mamilioni ya raia wapo kwenye umaskini uliokithiri,Kibera slums ni moja ya slums kubwa duniani hiyo ni moja ya kipimo cha umaskini. Mkuu weka data najua wengi hamuongelei Kenya mnamaanisha Nairobi, situmii vigezo vya magorofa na flyover, nataka kujifunza kutoka kwako
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama usipandishe watu mashetani na wala usijaribu kabisa kulinganisha maendeleo ya kenya na Tanzania sisi Magufuli anazindua vichochoro wakati waziri wa ujenzi kenya anazindua mibarabara ya ajabu. Halafu mbagala na Tandale bila kusahau buguruni kuna slum za ajabu
 
Last edited by a moderator:
mr dhaifu ametimiza matakwa ya watz, sidhan kama kuna mtz aliyetaraj kikwete adelive tofaut na afanyavyo sasa once mbayuwayu always mbayuwayu
 
Mkuu chama usipandishe watu mashetani na wala usijaribu kabisa kulinganisha maendeleo ya kenya na Tanzania sisi Magufuli anazindua vichochoro wakati waziri wa ujenzi kenya anazindua mibarabara ya ajabu. Halafu mbagala na Tandale bila kusahau buguruni kuna slum za ajabu
Kamanda precise pangolin nimeomba kitu kidogo sana nipe data niangalie economic outlook zinasemaje, nataka kujifunza mpaka sasa hivi napata hadithi za kwenye vilinge vya kahawa, mkuu Tanzania tuna nyumba ambazo hazijajengwa kwa mpango hivi Kibera unapajua au unapasikia?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ukweli husemwa:

Hii thread imekaa kisiasa siasa tu.

The problem of most Tanzanian, we have made to believe by unscrupulous politician as if Tanzania started after President Jakaya Kikwete came to power.

Its ludicrous if not stupid to start comparing deliverance of two President from two different country. Tanzania is not Kenya, Tanzania differ geographically, historically, socially and economically with that of Kenya.

Every country has different priority and vision each year. President Jakaya Kikwete came to power with different priority as a nation compare to that brought to power President Kibaki. the same goes to all other nation.

Only in Tanzania, where everything is politics.

Sasa ndugu hawa wanaoongelewa hapa si wanasiasa? Regardless of our differences ambazo hapa really doesn't not matter kwasababu hapa kinachoulizwa ni kama marais hawa wawili wamefanikiwa kufikia mataraji ya wananchi wake.
Kwani alipoingia madarakani Kikwete tulikuwa na mataraji gani toka kwake? amefanikiwa au ameshindwa kwa kiasi gani? unaongelea masuala ya vision ambazo hata hatuna kama Taifa
 
Katiba mpya ya Kenya inatisha na huwezi kufananisha ya kwao na na huu upuuzi tulio nao sisi...nikupe sababu kwa nini nakwambia katiba yao mpya ni nzuri:

Sasa bado mnataka kujilinganisha na nchi progressive kama hivo?

Mkuu mengine nimeyafuta lakini umemaliza kila kitu !
 
Chama,
Natamani ningekuwa na ujasiri kama wako

Bajeti inakusaidia nini wakati miundo mbinu inaonekana? Kuna flyover from Nairobi to Taita Town in North. Another 6 lanes road on construction ikipitia Jomo Kenyatta Airport ili kupunguza foleni mjini, kuna visima vya gesi kwenye vilima vya Naivasha. Na sisi tunakimbizana kupanua bandari wakati reli zimekufa na katikati ya urasimu. Hivi unavutia importers from landlocked countries kweli wapitishe bidhaa zao Tanzania wakati wanataka cheap and reliable means of transport? Kenya wameingia mkataba na kapuni ya China for railway construction from Mommasa to Nairobi targeting importers from landlocked countries maana wanaelewa nchi nyingi zimeendelea kwa kutumia reli kama means of transport especially heavy traffics
 
Mkuu suala ni dogo tu weka bajeti tuangalie maendeleo..............Chama
Gongo la mboto DSM

Chama

Unapenda takwimu sana kiongozi wangu...

2010 GDP - Real growth (Japan 4%; Kenya 5.6% na Bongo 7.04%)

World Bank Indicators
 
Chama

Unapenda takwimu sana kiongozi wangu...

2010 GDP - Real growth (Japan 4%; Kenya 5.6% na Bongo 7.04%)

World Bank Indicators

Mkuu Real man
Huoni kama umenipa data angalau nimepata mwanga; hadithi za vilinge vya kahawa ni ngumu sana kuzitumia kupima maendeleo ya nchi; mafanikio na matatizo ya kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya yanafanana sana; nashangaa sana wadau wengine wanapotaka kuifanya Kenya kama imepiga hatua kama Brazil. Hakuna anayelazimishwa kumpenda Kikwete lakini pale penye ukweli usemwe si tu kutoa madai ambayo hayana msingi wapo wakenya wengi tu hawataki hata kumsikia Kibaki sasa inapotokea mtu mwenye akili timamu anakuja na thread kama hii inachekesha sana; lakini yote ni kuelemishana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Bajeti inakusaidia nini wakati miundo mbinu inaonekana? Kuna flyover from Nairobi to Taita Town in North. Another 6 lanes road on construction ikipitia Jomo Kenyatta Airport ili kupunguza foleni mjini, kuna visima vya gesi kwenye vilima vya Naivasha. Na sisi tunakimbizana kupanua bandari wakati reli zimekufa na katikati ya urasimu. Hivi unavutia importers from landlocked countries kweli wapitishe bidhaa zao Tanzania wakati wanataka cheap and reliable means of transport? Kenya wameingia mkataba na kapuni ya China for railway construction from Mommasa to Nairobi targeting importers from landlocked countries maana wanaelewa nchi nyingi zimeendelea kwa kutumia reli kama means of transport especially heavy traffics

Mkuu hadithi zako nyingi ni za paukwa pakawa lete data; wachumi hawapimi maendeleo kwa hadithi za alfu lela ulela; kaa chini tafuta takwimu tuwekee tulinganishe ni kitu kidogo sana kwa mtu anayetaka kuwa na majadiliano mbadala

Chama
Gongo la mboto DSM
 
The two presidents lead East Africa's largest economies. One of them however seems to delivering beyond the expectations of his people. Who is it and why? One of them seems to build a self-reliant nation; one of them seems to push for his country to become a developed nation faster than any other nation in the region...

Boss I will not bother myself to compare the two presidents as ours can not be compared with any EA president maybe with Somalian President if he exist I would like to compare ourselves with Kenyans citizens on the awareness of how their country is run,Their political awareness is far ahead of ours and as a result of this the ruling president/Political party is forced to work hard cause he/it knows that if they don't work hard they will not be in power after the next election unlikely here where whether the president and his ccm works or not they are sure they will be elected again in the next election
 
Back
Top Bottom