nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Angalia hizi Barabara, ni kama za USA zilivyo pana na Mabango hayachanganyi wanaosafiri...
Ni kwanini Serikali ya CCM haiwezi kujihusisha na Project's kubwa kama hizi? Yaani Unakumbuka walipojenga'
Salendar Bridge wakati wa Nyerere na walikuwa ni KAJIMA? ile Barabara iko vilevile... Lakini baada ya Nyerere
kuondoka waliwaita KAJIMA; Barabara zikawa kama mitumbwi kwanini? hakuna UFANISI wote ni 10% hakuna
Uchungu wa NCHI; Hembu angalia wakenya na UKABILA wao wanatuzidi sasa...
Kenya elevated highway works to start in January 2013
Works on an elevated highway in Kenya are due to begin in January 2013.
The initial US$200million cost of the project will be funded by the World Bank. The 12km stretch above the present Waiyaki Way and Mombasa Road-Uhuru Highway is due to be completed in 2015