Mwai Kibaki na mahakama ya ICC

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
JF imegukuwa ni chombo cha kutoa elimu katika masuala mbalimbali:

Mm wana jf sijui na sielewi ni kwann mwai kibaki ambae ndie kiini cha mgogoro wa kenya kwa kitendo chake cha kukataa matokeo asiwe ni mmoja wa watuhumiwa?
Plz anayeweza kujaribu kunielezea namuomba ashushe darasa hapa.

Natanguliza shukrani
 
Mmh! ningekushushia darasa,lakini subiri kwanza niwasubirie wazee wa nondo kama Mzee mwanakijiji,Kiranga,Mkandara,Nguruvi3
Pasco,EMT nk. Hao ni wachache tu lakini list inaendelea....hawa jamaa wakipita kwenye post hii hakika watakupa majibu sahihi ya
kukonga moyo wako
 
Naendelea kuwasubiria kwa hamu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom