Mwageni shule sasa kuhusu Ving'amuzi

Mr. Bigman

JF-Expert Member
May 7, 2011
2,560
1,299
Mabingwa na wataalamu nawaombeni sasa muanze kutushushia sasa shule,darsa,maelezo na maujanja yooote! Kuhusu hivi ving'amuzi vya Matangazo ya Tv. Sisi huku vijijini tunajua tu kuwa ifikapo disemba 31 matangazo ya television za kilalahoi tuliyonayo sasa hatuyapati tena! Ila kwa king'amuzi. Tujuzeni tunaanzia wapi angalau hata taarifa za habari za Itv tusikose. Please
 
Back
Top Bottom