Mwafrica,mzungu na Nyani

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mwafrika aliingia bar na kumkuta mzungu yuko na nyani wake ikabidi Mwafrika ajiunge nao,baada ya dk kadhaa akaenda chooni na kuacha ndizi zake juu ya meza lkn aliporudi hakuziona ikabidi aulize... Mwafrica:nani amekula ndizi zangu? Mzungu:familia yako ndio aliyekula.. basi mwafrika akavimba kwa hasira...basi mzungu naye pombe zikamzidi ikabidi akaipunguze chooni,basi yule Mwafrika akaanza kumpa kipigo hevi yule nyani,mzungu aliporudi akamkuta nyani wake anavuja damu ile kishenzi ikabidi aulize. Mzungu:nani kampiga nyani wangu? Mwafrica:achana na mambo ya familia yetu hayakuhusu we kunywa pombe zako uöndoke zako
 
ningekuwa mie ndiye huyo blaki ningemuua huyo nyani yaani huyo mzungu anatufananisha na nyani?mtukane huyo mzungu %@=:/¿#¥
~
 
Back
Top Bottom