Mwachie Mungu

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Kuna watoto walikuwa wanacheza,mwenzao mmoja akaanza kulia,wakati analia mtumishi wa Mungu akawa anapita,mtumishi akamuuliza "mtoto mbona unalia?"
Mtoto akamjibu,"natafuta yeboyebo zangu sizioni kuna mtu kazichukua". Mtumishi akamwambia,"pole,nyamaza mwachie Mungu tu". Mtoto akamjibu,'Mungu hazimtoshi zilikuwa ndogo"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom