Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempiski

Kiranga mdogo wako Diamond yuko kazini. Si vocals tu...

Right now I am in the mood for some highbrow subjects, not Diamoind.

Too many division fours and zeroes.

Nivute kwenye kukokotoa kama Kiswahili kinafaa kufundisha mpaka Chuo Kikuu, au kwa nini NECTA haijatoa zip file la megabyte 13 lenye matokeo ya nchi nzima. Yaliyo CSV formatted kwa somo. Kiasi cha kumfanya kila mwenye MS Excel na uwezo wa kwenda internet cafe kwa nusu saa aweze ku download hili file na kulikokotoa kuona pattern na nani wa kwanza mpaka wa mwisho kwa kila somo kwa nchi nzima!

Niko msibani bado kiaina.

Si unajua unaweza kufiwa halafu ikawa kama hujaamini hivi mpaka wiki moja baadaye?

Ndipo nilipotoka mimi sasa. Habari za Diamond hazipandi kwa sasa.

Maana nimemuazima Nostradamus mizimu yake kwa sekunde chache nikaangalia huko nchi inakokwenda kwa kasi hii, si kuzuri kabisa, yatosha tu niseme si kuzuri kabisa.

Nisikukate stimu za Diamond bure, lakini kwangu sasa hivi nafikiria makubwa zaidi, yananisitisha akili kiaina kuweza kuwa na bandwidth ya kuwafikiria kina Diamond.
 
Niseme tu kuwa sina kipingamizi na wewe kufikiria "mambo makubwa zaidi" kwa sasa. After-all ni mambo ya kitaifa. Nilikualert kama mtu anayefuatilia mambo (Tulipata kujadili juu ya sanaa na Diamond was mentioned) na maybe kuna kitu ungekiona especially perception ya watu (vijana) kwa Diamond. Nadhani kipindi kile tunajadili juu ya Diamond na Kiba nchi haikuwa imetulia pia, ilikuwa katika mgogoro wa kidini na kama sijakosea palikuwa na mauaji na majeruhi kwa wenzetu maalbino, jambo ambalo mi silioni kuwa dogo hata kama limetokea watu wachache.

Kuhusu NECTA kutoa matokeo yaliyokuwa CSV-fomatted yaliyokuwa zipped na yenye "13 MB" japo ni mfano tu unaowakilisha grief yako juu ya mifumo yetu nitasema kidogo (Nafanya makusudi kutosema sana maana bado tuko msibani)!

Tanzania ni nchi changa na haina wataalam katika sekta nyingi hii inasababisha hata mambo madogo tu kama uliyoyatamani yasifanyike kwa kuwa wakubwa wamezungukwa na watu wasiowaza hayo unayoyawish na wao hawayawazi kabisa. Kwamba rekodi kadhaa kama "pattern ya nani wa kwanza kwa kila somo kwa nchi nzima" haina sababu ya mwananchi wa kawaida kuijua, ni nani huyu anayejali haya? Wana majibu, "Aende Wizarani, kwani kanyimwa?" Waziri wa Viwanda na Biashara wakati huo Juma Ngasongwa aliwahi kusema "Tatizo lenu mnataka kila mkataba wa Serikali uwe wazi, haiwezekani!"

Ukweli ni kuwa vitu vingi bado sana katika nchi hii.
Elimu, michezo, teknolojia etc, Sijui kama kuna ulazima wa akili za mtabiri Nostradamus au Mwanafalsafa Nietzsche kujua kuwa tuko chini. Hata kama sifuri na DIV FOUR zisingekuwa hivi kwani hao wanaofaulu nao uwezo wao ukoje? Bado sana. Akina Nyani Ngabu kila leo wanahoji hao wa "Special Schools" ni special kiasi gani.

Hivi ni lini tunaweza kuwa na watu wanaofanya majaribio yenye magnitude kama ya akina Robert Millikan, DeBroglie, Heinselberg, Einstein, Max Plank, Niels Bohr etc (Nimewataja watu ambao najua wako katika anga zako)? Kwamba tuna watu wanatoa maelezo yenye ushawishi juu ya Black Hole.....Relativity.... na labda juu ya next gen cpus na hybrids za cpu na gpu, na huenda tukashindana na Intel kwa kufanya reverse engineering ya processors zao au tukaja na brand new technology ya pc cpus zenye teraflops kadhaa..... ni lini....??? Kuna kazi.

Anyway, thread ni juu ya Diamond, tusi-hijack. Bendera nusu mlingoti, itakaporudi juu Absalom Kibanda kashambuliwa. Tanzania.

Aroo Mama Rhobi rete kama turivyo.

For your reference:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-nao-ni-wasomi-wa-udsm-wanasaka-degree.html
 
Kiingilio kwenye hiyo sherehe ilikuwa ni suti nyeusi/kijivu kwa wanaume?,naona wote wametinga hivyo,sijaona swagga zozote zaidi ya za mwimbaji na wachezaji wake ,ila huyu kijana anahitaji kuwezeshwa naona yeye na dancers wake wote wamepanda gari moja tena anajiendesha,i cant imagine harufu ya majasho humo ndani ya prado!!!!!

Hiyo ni corporate event. Haina kiingilio. Ni wafanyakazi wa benki ya CBA wakisherehekea wanachokijua wao....Halafu unataka awezeshwe kisa kapanda gari moja na dancers wake? Shukuru kwamba hata ana gari la kupanda dancers wake, tena Prado ya kisasa kabisa.

Awezeshwe na nani? Ameanza akiwa hana kitu, amejituma sana katika muziki na ameweza kununua Prado. Na anaonekana bado hajabweteka. Anaendelea kufanya kazi kwa bidii....!

Kwa taarifa yako jasho la mtu msafi, huwa halinuki; linanukia.
 
Niseme tu kuwa sina kipingamizi na wewe kufikiria "mambo makubwa zaidi" kwa sasa. After-all ni mambo ya kitaifa. Nilikualert kama mtu anayefuatilia mambo (Tulipata kujadili juu ya sanaa na Diamond was mentioned) na maybe kuna kitu ungekiona especially perception ya watu (vijana) kwa Diamond. Nadhani kipindi kile tunajadili juu ya Diamond na Kiba nchi haikuwa imetulia pia, ilikuwa katika mgogoro wa kidini na kama sijakosea palikuwa na mauaji na majeruhi kwa wenzetu maalbino, jambo ambalo mi silioni kuwa dogo hata kama limetokea watu wachache.

Kuhusu NECTA kutoa matokeo yaliyokuwa CSV-fomatted yaliyokuwa zipped na yenye "13 MB" japo ni mfano tu unaowakilisha grief yako juu ya mifumo yetu nitasema kidogo (Nafanya makusudi kutosema sana maana bado tuko msibani)!

Tanzania ni nchi changa na haina wataalam katika sekta nyingi hii inasababisha hata mambo madogo tu kama uliyoyatamani yasifanyike kwa kuwa wakubwa wamezungukwa na watu wasiowaza hayo unayoyawish na wao hawayawazi kabisa. Kwamba rekodi kadhaa kama "pattern ya nani wa kwanza kwa kila somo kwa nchi nzima" haina sababu ya mwananchi wa kawaida kuijua, ni nani huyu anayejali haya? Wana majibu, "Aende Wizarani, kwani kanyimwa?" Waziri wa Viwanda na Biashara wakati huo Juma Ngasongwa aliwahi kusema "Tatizo lenu mnataka kila mkataba wa Serikali uwe wazi, haiwezekani!"

Ukweli ni kuwa vitu vingi bado sana katika nchi hii.
Elimu, michezo, teknolojia etc, Sijui kama kuna ulazima wa akili za mtabiri Nostradamus au Mwanafalsafa Nietzsche kujua kuwa tuko chini. Hata kama sifuri na DIV FOUR zisingekuwa hivi kwani hao wanaofaulu nao uwezo wao ukoje? Bado sana. Akina Nyani Ngabu kila leo wanahoji hao wa "Special Schools" ni special kiasi gani.

Hivi ni lini tunaweza kuwa na watu wanaofanya majaribio yenye magnitude kama ya akina Robert Millikan, DeBroglie, Heinselberg, Einstein, Max Plank, Niels Bohr etc (Nimewataja watu ambao najua wako katika anga zako)? Kwamba tuna watu wanatoa maelezo yenye ushawishi juu ya Black Hole.....Relativity.... na labda juu ya next gen cpus na hybrids za cpu na gpu, na huenda tukashindana na Intel kwa kufanya reverse engineering ya processors zao au tukaja na brand new technology ya pc cpus zenye teraflops kadhaa..... ni lini....??? Kuna kazi.

Anyway, thread ni juu ya Diamond, tusi-hijack. Bendera nusu mlingoti, itakaporudi juu Absalom Kibanda kashambuliwa. Tanzania.

Aroo Mama Rhobi rete kama turivyo.

For your reference:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-nao-ni-wasomi-wa-udsm-wanasaka-degree.html

Discussing Diamond on my part is an indulgence.

Do not expect me to indulge myself at all times. If I eat chocolate every now and then, it does not mean I will eat chocolate daily, lest I rot my teeth like Wema Sepetu.

There are times when I run out of my weekly quota of indulgences, per my principle of "everything in moderation", even being stupidly indulgent.

Now I feel that I have not only exhausted my weekly quota, but perhaps my monthly too.
 
Right now I am in the mood
for some highbrow subjects, not Diamoind.

Too many division fours and zeroes.

Nivute kwenye kukokotoa kama Kiswahili kinafaa kufundisha mpaka Chuo
Kikuu, au kwa nini NECTA haijatoa zip file la megabyte 13 lenye matokeo
ya nchi nzima. Yaliyo CSV formatted kwa somo. Kiasi cha kumfanya kila
mwenye MS Excel na uwezo wa kwenda internet cafe kwa nusu saa aweze ku
download hili file na kulikokotoa kuona pattern na nani wa kwanza mpaka
wa mwisho kwa kila somo kwa nchi nzima!

Niko msibani bado kiaina.

Si unajua unaweza kufiwa halafu ikawa kama hujaamini hivi mpaka wiki
moja baadaye?

Ndipo nilipotoka mimi sasa. Habari za Diamond hazipandi kwa sasa.

Maana nimemuazima Nostradamus mizimu yake kwa sekunde chache nikaangalia
huko nchi inakokwenda kwa kasi hii, si kuzuri kabisa, yatosha tu niseme
si kuzuri kabisa.

Nisikukate stimu za Diamond bure, lakini kwangu sasa hivi nafikiria
makubwa zaidi, yananisitisha akili kiaina kuweza kuwa na bandwidth ya
kuwafikiria kina Diamond.

kwa nini mkuu unatuchosha kusoma kama huku si eneo lako ipotezee thread
 
Sijakuchosha kusoma, umeamua kusoma mwenyewe.

Nimemjibu mja aliyeniita kwenye thread tu, wewe umeingia choo cha kike huku umebeba dhakari.
 
Discussing Diamond on my part is an indulgence. Do not expect me to indulge myself at all times. If I eat chocolate every now and then, it does not mean I will eat chocolate daily, lest I rot my teeth like Wema Sepetu. There are times when I run out of my weekly quota of indulgences, per my principle of "everything in moderation", even being stupidly indulgent. Now I feel that I have not only exhausted my weekly quota, but perhaps my monthly too.
I'll be careful not to bombard you with these indulgent stories again.
 
cha msingi akumbuke kuwekeza vitega uchumi,wengi wa wasanii waling'ara km yy anavyong'ara sasa hivi lakini wakapotea jumla na hawakumbukwi tena. Big up Diamond
 
Big up diamond....juhud zako ndo zinakuuza.... Wacha waseme sijui domo....cjui free manson we tafuta pesa baba....miswahili ndo tulivo
 
Niseme tu kuwa sina kipingamizi na wewe kufikiria "mambo makubwa zaidi" kwa sasa. After-all ni mambo ya kitaifa. Nilikualert kama mtu anayefuatilia mambo (Tulipata kujadili juu ya sanaa na Diamond was mentioned) na maybe kuna kitu ungekiona especially perception ya watu (vijana) kwa Diamond. Nadhani kipindi kile tunajadili juu ya Diamond na Kiba nchi haikuwa imetulia pia, ilikuwa katika mgogoro wa kidini na kama sijakosea palikuwa na mauaji na majeruhi kwa wenzetu maalbino, jambo ambalo mi silioni kuwa dogo hata kama limetokea watu wachache.

Kuhusu NECTA kutoa matokeo yaliyokuwa CSV-fomatted yaliyokuwa zipped na yenye "13 MB" japo ni mfano tu unaowakilisha grief yako juu ya mifumo yetu nitasema kidogo (Nafanya makusudi kutosema sana maana bado tuko msibani)!

Tanzania ni nchi changa na haina wataalam katika sekta nyingi hii inasababisha hata mambo madogo tu kama uliyoyatamani yasifanyike kwa kuwa wakubwa wamezungukwa na watu wasiowaza hayo unayoyawish na wao hawayawazi kabisa. Kwamba rekodi kadhaa kama "pattern ya nani wa kwanza kwa kila somo kwa nchi nzima" haina sababu ya mwananchi wa kawaida kuijua, ni nani huyu anayejali haya? Wana majibu, "Aende Wizarani, kwani kanyimwa?" Waziri wa Viwanda na Biashara wakati huo Juma Ngasongwa aliwahi kusema "Tatizo lenu mnataka kila mkataba wa Serikali uwe wazi, haiwezekani!"

Ukweli ni kuwa vitu vingi bado sana katika nchi hii.
Elimu, michezo, teknolojia etc, Sijui kama kuna ulazima wa akili za mtabiri Nostradamus au Mwanafalsafa Nietzsche kujua kuwa tuko chini. Hata kama sifuri na DIV FOUR zisingekuwa hivi kwani hao wanaofaulu nao uwezo wao ukoje? Bado sana. Akina Nyani Ngabu kila leo wanahoji hao wa "Special Schools" ni special kiasi gani.

Hivi ni lini tunaweza kuwa na watu wanaofanya majaribio yenye magnitude kama ya akina Robert Millikan, DeBroglie, Heinselberg, Einstein, Max Plank, Niels Bohr etc (Nimewataja watu ambao najua wako katika anga zako)? Kwamba tuna watu wanatoa maelezo yenye ushawishi juu ya Black Hole.....Relativity.... na labda juu ya next gen cpus na hybrids za cpu na gpu, na huenda tukashindana na Intel kwa kufanya reverse engineering ya processors zao au tukaja na brand new technology ya pc cpus zenye teraflops kadhaa..... ni lini....??? Kuna kazi.

Anyway, thread ni juu ya Diamond, tusi-hijack. Bendera nusu mlingoti, itakaporudi juu Absalom Kibanda kashambuliwa. Tanzania.

Aroo Mama Rhobi rete kama turivyo.

For your reference:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-nao-ni-wasomi-wa-udsm-wanasaka-degree.html

Naomba Mungu aniepushe na ban leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom