mwaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
najua wk end hii wapo walio umizwa na wapenzi wao kwahiyo wamevunjika moyo... mie nakupa hiii .......mwaaaaaaaaaaaaaaaa

kwa wale walio fiwa na wapendwa wao wamekosa mfariji, Mungu awe mfariji wako na pokea hili ............... mwaaaaaaaaaaaaaa

wanawake wote wapenda maendeleo ................................................. mwaaaaaaaaa

JF ladies, Dena, Lizzy, Michelle, marytina, rose, na wengine wote ...........mwaaaaaaaaa

wale wote watakao tunga mimba siku ya leo........................................ mwaaaaaaaaa

basi nawe mwambie maneno mazuri yule umpendaye, mtakie wk end njema!!!

nawapenda wote!!!
 
kilichotea kwangu hakipo kwenye hiyo listi ila na wewe ........ uuuuuuuummmmmwwwwwwwwwwwwwwwwa
 
thanks Gurta...... siunajua huwezi kuandika yoteeeee!!! nairudisha na kwako pia mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa likufariji ulipoumia
 
najua wk end hii wapo walio umizwa na wapenzi wao kwahiyo wamevunjika moyo... mie nakupa hiii .......mwaaaaaaaaaaaaaaaa

kwa wale walio fiwa na wapendwa wao wamekosa mfariji, Mungu awe mfariji wako na pokea hili ............... mwaaaaaaaaaaaaaa

wanawake wote wapenda maendeleo ................................................. mwaaaaaaaaa

JF ladies, Dena, Lizzy, Michelle, marytina, rose, na wengine wote ...........mwaaaaaaaaa

wale wote watakao tunga mimba siku ya leo........................................ mwaaaaaaaaa

basi nawe mwambie maneno mazuri yule umpendaye, mtakie wk end njema!!!

nawapenda wote!!!

Kweli naona kuna haja ya kuwa na chama cha kutetea haki za akina baba
Yaani salamu yoote haina mbaba/mkaka wala jinsia yoyote ya kiume??
Hebu edit bana utuweke . . . . :tongue::tongue::juggle:
 
Umenigusa sana Susy.......
Nawe pokea hii............:A S kiss:Mmmmmmwaaaaaaaaaaaaaa
 
ha hahaaaaaaaaaaaaaa

thanks my Nyadhiwa and Lizy have a nice wk end too!!!
 
CPU

Kweli naona kuna haja ya kuwa na chama cha kutetea haki za akina baba
Yaani salamu yoote haina mbaba/mkaka wala jinsia yoyote ya kiume??
Hebu edit bana utuweke . . . . :tongue::tongue::juggle:

nimesema nawapenda woteeeeeeeee!!!! na ww ukiwa mmoja waoooooo, mwaaaaaaaaaaaaa kwenye paji lako la usoooo
 
Asante sana Susy, ingawa miye leo sitatunga mimba leo....................nakupa mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hah ahaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiii tzjamani!! haya bana!! nalirudisha kwako hili kwenye sikio la kulia mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ASANTE SANA SUSSY,
UMENIGUSA SANA ULIVYOSEMA WALIOUMIZWA WKEND HII,,,MIMI NI MMOJA WAO NIMEUMIZWA SANA SANA SANA,NATAMANI NISIPENDE TEEEEENA MPAKA MWISHO WA PUMZI YANGU (NAMAANISHA UPENDO WA KIMAPENZI), .BALI NIWE NA UPENDO WA KAWAIDA KAMA NILIONAO KWA WATOTO WANGU,MARAFIKI (maadui),wafanyakazi wenzangu, majirani NA NDUGU ZANGU TU....,ILA NIMEFARIJIKA KUSOMA MSG YAKO....ASANTE SANA,,,NAWE PIA WKEND NJEMA ...MWAAAAAAA TO YOU TOO....
 
Back
Top Bottom