Mvuvi na msomi

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu! umepoteza asilimia 20% katika maisha yako. akamuuliza una tv kwako akasema hapana umepoteza asilimia 20% ya maisha yako. akamwambia unatakiwa kuwa na ufahamu katika hayo kama elimu ni muhimu katika maisha na radio na tv unapata taharifa mbali mbali sasa wewe una. Mara hali ya hewa baharini ikaarinika mtumbwi ukaanza kuyumba yumba uku na kule.YULE MVUVI AKAMWAMBIA MWENZANGU UNAJUA KUOGELEA AKASEMA HAPANA. AKAMWAMBIA UMEPOTEZA MAISHA YAKO YOTE.
 
Teh teh teh teh! Hii niliisikia kwenye semina moja akiisema mtoa mada mmoja kutuchangamsha baada ya kutuona wasikilizaji wake tumechoka na hatumsikilizi!
 
Wengi wetu huwa tu na madharau sana juu ya kazi au kuona kwakuwa mimi niko hivi nimemaliza kumbe kila kitu kinategemeana hapa duniani jamani
 
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu! umepoteza asilimia 20% katika maisha yako. akamuuliza una tv kwako akasema hapana umepoteza asilimia 20% ya maisha yako. akamwambia unatakiwa kuwa na ufahamu katika hayo kama elimu ni muhimu katika maisha na radio na tv unapata taharifa mbali mbali sasa wewe una. Mara hali ya hewa baharini ikaarinika mtumbwi ukaanza kuyumba yumba uku na kule.YULE MVUVI AKAMWAMBIA MWENZANGU UNAJUA KUOGELEA AKASEMA HAPANA. AKAMWAMBIA UMEPOTEZA MAISHA YAKO YOTE.
Hahahahaha!
Swaaaafi. Imetulia.
 
Back
Top Bottom