Mvuto wa CHADEMA kwa wananchi utaiangamiza CCM-Dk Bana

Binaadamu Bwana, hapo Bana utakuta na yeye anafanya mazoezi ya kujimovuzisha, sisi tunasema anatroti.
 
Jamani CCM haina mvuto kumbukeni Nyerere alisema ccm itamalizwa na wana ccm wenyewe:A S 109::A S 109:alijua NINI KITATOKEA. Hongera Nyerere (R.I.P) CCM ng'o haitatawala milele. Ee mola tunaomba zawadi ya kuona jinsi CCM ikisambaratika. Tusaidie ee Mola
 
Bana hajasema maneno yote haya kwa nia njema. Huyu bwana ni mwehu, mzandiki, mnafiki na muite utakavyo. Niseme tu ni kibaraka mzuri wa ccm.
Hivi kwani kwake ccm ikiondokewa na watu anapungukiwa mshahara?
La ajabu ni lipi? watu kuiacha ccm??
To hell na michapo yake hiyo isiyo na tija kwa watanzania.
 
Hayo ni maoni yake. Ukweli CCM imeenea nchi nzima; pwani hadi bara, mashariki - magharibi, kaskazini - kusini

Hayo pia ni maoni yako... lakini penye ukweli lazima hapajifichi... pia ni maoni yangu kuwa CDM kimezidi kuwa na mvuto mkubwa kwa sasa na hasa kwa vijana...
 
huyu kada wa Magamba kwa sasa anahaha coz hata darasani naimani hakubaliki. yupo ki ccm zaidi.
 
Ninampa hongera sana Dr Bana kwa kuipaisha chadema kwamba mvuto wake kwa umma wa watanzania kwa sasa haukamatiki na kwamba chadema kinasera zinazo watumainisha wananchi ndiyo maana kinamvuto. Source:JF
 
Haaminiki sana huyo Bana, ni mnafiki sana. Ukitaka kujua rangi ya roho yake mwambie akafanye utafiti, nakuambia utazima zako
 
Haaminiki sana huyo Bana, ni mnafiki sana. Ukitaka kujua rangi ya roho yake mwambie akafanye utafiti, nakuambia utazima zako

Umenena mkuu. Huwa namfuatilia sana bana na mara nyingi analysis zake huwa ni za kujipendekeza upande fulani na siyo hali halisi ilivyo. Binafsi simuungi mkono kwa lolote.
 
Back
Top Bottom