Mvuta sigara unakumbushwa hili...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...unaweza kuwa uliishaisikia lakini si vibaya kukumbushia.

Muuzaji: Samahani kaka hairuhusiwi kuvuta sigara hapa dukani.
Mteja: Nikavutie wapi?...mbona sigara nimenunua hapahapa?
Muuzaji: niikikuuzia condom uta....mbea hapahapa dukani???
Mteja: Teh teh teh...Ahsante nimekuelewa
Muuzaji:***** we...usirudie upuuzi wako
 
Ezan likes this
 
Hii nayo ni marudio,

Ilishawahi kuwepo hapa, sio mara moja, ni zaidi ya mara tano. posted post
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom