Mvua kuvuruga Maadhimisho ya sherehe za Muungano - tafsiri yangu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
Ulipowadia wakati wa halaiki iliyowashirikisha wanafunzi 500, mvua kubwa ilianza kunyesha na kuvuruga kabisa sherehe hizo.Kwa mujibu wa ratiba ya sherehe hizo, kipindi kilichokuwa kikifuatia ni ngoma za asili, lakini mvua ilipozidi washereheshaji walitangaza kukatisha na viongozi wakaanza kuondoka.

Mwananchi

Siyo siri nchi nyingi duniani kama Urusi, Check, Sudan, Ethipia nk walidharau ishara za nyakati, leo imekuwa historia.
 
Angetokea binadamu na kuvuruga sherehe hizo zilizoandaliwa kwa gharama kubwa ingekuwa ni habari yenye uzito wa aina yake, lakini ilivyotokea jana hakuna wa kumnyooshea kidole Muumba.

Wakaongozi wasione aibu na karaha kuzungumzia na kujadili Muungano badala ya kuupamba kwa kupaka rangi nyingi wakati ndani kumejaa nyufa kadhaa zinazoendelea kuachia nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom