Mvua kubwa na mafuriko yasababisha mabasi kushindwa kusafiri Dodoma

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
12417877_10154080864564339_3558826628324282868_n.jpg
12931109_10154080864719339_417360835036106444_n.jpg

Mawasiliano ya barabara kwa magari yatokayo Dodoma kwenda Morogoro na Dar yamekatika kutokana na mvua kubwa Dodoma.

Magari yamesimama kijiji cha chalinze 'nyama choma' Dodoma, barabara imefunikwa na maji tangu alfajiri.
 
View attachment 334647

Mawasiliano ya barabara kwa magari yatokayo Dodoma kwenda Morogoro na Dar yamekatika kutokana na mvua kubwa Dodoma.

Magari yamesimama kijiji cha chalinze 'nyama choma' Dodoma, barabara imefunikwa na maji tangu alfajiri.

Ungetuwekea Na Picha Ingependeza Mno Mkuu Ili Tunaokuja Huko Sasa Tubebe Kabisa Life Jackets Zetu Na Tujipange Jinsi Ya Kukabiliana Na Mamba Na Viboko Tukizama.
 
Ni vituko tu.Siku hizi kama sio mafuriko ni ukame.Hivi tutafika kweli.Kazi sana.Wazungu na ushetani wao watatumaliza.Anga wanalichezea kama watakavyo bila huruma.
View attachment 334656 View attachment 334647

Mawasiliano ya barabara kwa magari yatokayo Dodoma kwenda Morogoro na Dar yamekatika kutokana na mvua kubwa Dodoma.

Magari yamesimama kijiji cha chalinze 'nyama choma' Dodoma, barabara imefunikwa na maji tangu alfajiri.
 
Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.
 
Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.

Majirani anzeni kutoa msaada, viongozi wakija wakute mmewasitiri wahanga, viongozi wanahudumia eneo kubwa wanaweza kuchelewa
 
Nilipo mimi hali ni shwari na mvua ilinyesha kidogo kwa kifupi ni manyunyu tu, ...... poleni wahanga wa mafuriko popote pale!
 
Dr.Kijazi na hali ya hewa yake wanatumika kisiasa zadi.Ni hapa kwetu tu hali ya hewa inatabiri watu wavunjiwe nyumba zao.
 
  • Thanks
Reactions: Ave
Chatumkhizo mvua post: 15769652 said:
Ila Kiukweli hata hapa dom mjin mvua usiku imetwanga kisawasawa
Poleni sana na hizo mvua. Jambo la muhimu zisilete madhara zaidi.
 
Back
Top Bottom