Mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara!!!

mkubwawao

Member
Oct 16, 2012
39
5
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na Dr.Kijazi wa TMA. Naomba kuwasilisha.
 
Mtwara msiwe na wasiwasi! mchungaji wa mungu TB nabii na mtume Anton Lusekelo a.k.a mzee wa upako amezuia mvua za El-nino.
 
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na Dr.Kijazi wa TMA. Naomba kuwasilisha.

mkuu haka kamanyunyu ndo mvua kubwa?
 
mtwara niliyopo mm hakuna mvua! manyunyu kiduchu na jua linawaka sa hv!
 
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na Dr.Kijazi wa TMA. Naomba kuwasilisha.

karibu jamvini! uko mtwara pande zp?
 
Yap nmezunguka mitaa ya magomen, shangani na soko kuu mvua imenyesha kubwa sana
 
Kaka hembu punguza maskhara haya ni manyunyu tu.Lakini inawezekana kwa Mtwara ni mvua kubwa maana me ni mgeni maeneo haya.Naamini ungeona ile iliyosababisha mafuriko Dar ungesema Mungu kaamua kuangamiza dunia kwa gharika.Hata hivyo nipo sesi pub nagonga vitu njoo nikuone mwana JF mwenzangu
 
Dr.Kijazi wa TMA hana uwezo wa kutabiri wala taasisi yake haina uwezo wa kutabiri hali ya hewa zaidi ya kuwadanganya waTanzania.Tena yumukini TMA jana huenda vyombo vyao vilionesha kuwa Mtwara itakuwa kavu tena na vipindi nya jua siku nzima
 
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na Dr.Kijazi wa TMA. Naomba kuwasilisha.

Uwe unabisha hodi kwanza...........Karibu sana jamvini.
 
Kaka hembu punguza maskhara haya ni manyunyu tu.Lakini inawezekana kwa Mtwara ni mvua kubwa maana me ni mgeni maeneo haya.Naamini ungeona ile iliyosababisha mafuriko Dar ungesema Mungu kaamua kuangamiza dunia kwa gharika.Hata hivyo nipo sesi pub nagonga vitu njoo nikuone mwana JF mwenzangu

Mkuu ungenitafuta jana tungejumuika pamoja hapo sesi hahhhaaaah!!!, nilikuwa pande hizo....
 
Mnaonekana Mnapenda sana MAAFA waTZ Walipima wakaona Wakawapa tahadhari Shukuruni haijatokea.Hii ni Taaluma ya Kisomi yenye kuhusisha Math Models na Physics Kama haijatokea kama Forecast ilivyo kuna natural Scientific Explanation Acheni kuUrge kama Vilaza Ungewatch ITV asubuhi ungepata hoja ya Kitaalam from one of TMA Scientist Kwa Elimu zaidi nenda TMA
 
Back
Top Bottom