Mvua imenyesha mtera imejaaa.....mwaka huu baadae mgao kama kawaida.

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Baada ya maji kupungua mtera na umeme kuwa wa mgao. Serikali ilitangaza mkakati wake wa kuzalisha umeme wa dharura ili maisha yaweze kusongo mbele. Baada ya mvua hii kunyesha mambo yote yameyeyuka .Kwanza serikali fedha kushney......hakuna jitihada nyingine maji si tayari yamejaaaaa...., kwa hiyo mvua ikiisha tu mgao kama kawa nyie mtakuwa mashahidi. Nikiandika kwamba nchi hii ifanyiwe utaratibu....thred itnaweza kufutwa. Mfano nikisema jeshi lichukue nchi.....weeee thread haitaonekana lakini tuendeleeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom