Mvua Dar es Salaam

ni kwa sbb barabara za mitaani haitumiki kama mvua ikinyesha...zinakuwa n madimbwi, ivo kila mtu anakimbilia barabara kubwa...vilevile barabara zikiwa na maji kwenye madimbwi watu hawajiachii kivile katika kuendesha magari yao...hence...foleni..
Ni kwa nini kunakuwa na foleni mbaya Dar kila mvua ikinyesha?
 
ni kwa sbb barabara za mitaani haitumiki kama mvua ikinyesha...zinakuwa n madimbwi, ivo kila mtu anakimbilia barabara kubwa...vilevile barabara zikiwa na maji kwenye madimbwi watu hawajiachii kivile katika kuendesha magari yao...hence...foleni..
Polisi pia wanaikimbia mvua...madereva wanajiendeshea wanavyojisikia. Unakuta gari zimefungana kwenye kila junction
 
Back
Top Bottom