Mvua Dar balaa tupu!

Signature yako tu mkuu!
"Mtoto anaweza kuchezea mayonyo ya mama lakini siyo korodani za baba"
 
:puke:OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPS!!!!!!!!!!!!!!!!

Hakuna cha ajabu hapa kama wewe ni mgeni wa Dar es salaam waweza shangaa.
 
Aisee! kama mmezoea haya mafuriko endeleeeeni na Bongo yenu ,yaani bara bara hazipitiki kufika mjini ni taabu,sehemu ya nusu saa unatumia masaa 3/4 kweli? Ngoja nirudi kwete Usukumani.
 
Mzee nimekusoma, kumbe ulitembelea mitaa ya mbezi beach. Hilo eneo linaitwa samaki wabichi na hilo ndio bwawa lao. lol!
 
hivi jamani hii nchi ipoje? hapo dar ndio kila kitu lakini jiji lenyewe ndio hilo...kha.
 
Mkuu, nilikuwa naelekea Goba karibu ni kiache ka Mark II kangu, nimeambiwa hiyo sehemu kila msimu wa mvua hapapitiki kutokana na maji kujaa eneo hilo.
 
Dar Tambarare! hutamsikia yeyote azungumzie kuboresha drainage system. Akili yao wote imeelekezwa October 31. Ipige mvua namna hii kwa wiki nzima basi ni hasara kubwa siyo tu kwa Dar bali nchi nzima. Msisahau lakini nchi yetu ni maskini.
 
hivi jamani hii nchi ipoje? hapo dar ndio kila kitu lakini jiji lenyewe ndio hilo...kha.
Nyamayao, hapo ni nje ya mji inia ktk ya mji ndio kasheshe ndiko hakufai kabisa Posta hakuna sehemu ya wapita kwa miguu maji ya mejaa magari yenyewe yana pita kwa taabu. kariakoo ndio balaa kabisaa!.... Hii yote inatokana na kutokuwepo kwa miundombinu ya kutosha
 
Hizo picha ni nje ya mji sasa ukija mjini kwenyewe si ndio kiama..... bongo tambaa-lileee
 
Nyamayao, hapo ni nje ya mji inia ktk ya mji ndio kasheshe ndiko hakufai kabisa Posta hakuna sehemu ya wapita kwa miguu maji ya mejaa magari yenyewe yana pita kwa taabu. kariakoo ndio balaa kabisaa!.... Hii yote inatokana na kutokuwepo kwa miundombinu ya kutosha

heee poleni sana, kama nje ya mji kupo hivyo bac tena, hapo ni nje ya mji sehemu gani ma bro? jamani dar kazi ipo, kukiwa na jua tabu mvua tabu mie hilo jiji limenishinda.
 
Ni Mbezi Beach eneo la Samaki wa bichi bara bara ya kuelekea goba na Mbezi Luis.
 
Hapa ni mitaa ya Mikocheni....maji kibao yaani utafikiri tumekuwa mamba!
 
Attachments

  • DAR LEO.jpg
    DAR LEO.jpg
    77.2 KB · Views: 428
Mzee nimekusoma, kumbe ulitembelea mitaa ya mbezi beach. Hilo eneo linaitwa samaki wabichi na hilo ndio bwawa lao. lol!
.
Wajemeni, hii ndio mitaa yangu, ama kweli kufa kufaana, leo tayari watu wa mikokoteni wanaosubirigi tenda za kubeba matofani, wamepiga kambi hapo, kuvushwa 200/=.

Hapo jirani kuna baa maarufu ya Bamboo, huwezi amini, maji yakipungua tuu, yanaacha tope zito, lakini wateja wake hawahami baa hiyo, huja kwa wingi kama kawaida, kuingia kupitia matofali yalipangwa ili wasikanyage tope, kisa, eti wanafata huduma!.
 
Sasa wakishalewa inakuaje wakati wa kukanyaga matofali ili waende nyumbani kunausalama kweli ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom