MV Skagit

DSC01488.JPG
 
Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.

Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja


 
[h=3]Picha ziadi maafa ya meli[/h]

Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika



Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar

Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama


Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake Baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo Bandarini





Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad akiwa katika hali ya huzuni Baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona Majeruhiwaliookolewa katika Meli iliozama ya Star Gate wakiteremka hapo Bandarini Zanzibar.

msaada wa anga nao ulikuepo

<tbody>
</tbody>
 




Baadhi ya Maiti waliookolewa kutoka katika MV Skagit na kukosa watu wake, wakipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hiyo.







 
Hakika ni huzuni sana tumuombe mungu azirehemu roho za marehemuwote wapumzike kwa amani ya bwana ameni pia vyombo vya ulinzi na usalama wkishirikiana na raia hakika wamefanya kazi kikubwa hakika ni ushirikiano mkubwa ambayo ni ishara ya umoja.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
 
Back
Top Bottom