MV SKAGIT: Final minutes, disstress signal and SOS

Liganga

Senior Member
Jul 4, 2007
165
125
Kwa haraka kabisa

Ningependa kujua kama hii meli na manaodha wake walituma any distress signal or performed SOS.

Je walikuwa na facility hizi on board?

Je vyombo vyetu vingine vina uwezo wa kutambua hizi signal?

Achilia vile vya kimataifa as vyenyewe huwa kule kwenye maji makuu karibu na Pemba.Nimeona baadhi ya picha meli ikiwa mgongon juu, je abiria wetu wanafahamu kuhusu namna ya kutuma SOS? Au haya yote uachiwa manaodha na crew. Kama boti ilibaki mgongo juu na nimeona baadhi abiria wakiwa juu ya mgongo wangeweza kutap au kupiga piga hilo bodi la meli kwa taratibu huku kila piga likiachana sekunde tatu hadi tano na ingekuwa rahisi msaada kuwafikia. Naomba tuanze kujikita katika kuelimisha watu juu ya namna ya kufanya kupata msaada majini na si kuweka life vest tu.

Pia tutumie mitandao kama AIS ambayo utoa position na path za meli yoyote tena ni bure hii itawezesha monitoring
kwa kiwango kikubwa. Mamlaka zilazimishe wamiliki kufunga modern navigational equipment zinazotoa fursa ya kutrack vyombo in real time
 
Unamawazo mazuri....na kama serikali ni sikivu na si kiziwi ....itakusikia
 
Kwa haraka kabisa

Ningependa kujua kama hii meli na manaodha wake walituma any distress signal or performed SOS.

Je walikuwa na facility hizi on board?

Je vyombo vyetu vingine vina uwezo wa kutambua hizi signal?....

Nothing will be done in this dead country
 
Wewe bwana mdogo una hamu ya kung'olewa meno bila nganzi hujui kwenye maafa kama haya ndiyo tunapatiapo vijisenti, sasa unataka ajari ziishe ili iweje.

Nani alikwambia tuna nia ya dhati kabisa kukomesha ajari za kizembe.

Je una taarifa yoyote kuhusiana usalama wake, nikikwambia hii meli wenzetu walisha sema haifai kabisa kutumia utabisha, nikikwambia ilibeba mizigo zaidi ya uwezo wake utabisha,

Je, hivi navyo vina hitaji wataalamu kusimamiwa au hata maji marefu kama anania ya dhati anaweza kuzuia ajari za kijinga kama hizi zanzibar na Victoria
 
Back
Top Bottom