MV Serengeti yawaka moto!

WOS; ni tetesi au uhakika, kama ni kweli vipi ilikuwa gati au ilikuwa njiani? kuna vifo?
 
Uhakika kabisa... ila kumbe haikuwa na watu... ina capacity kubeba abiri ahadi 800! Imagine kama ndo ingekuwa imeshabeba abiria iko safarini...
 
Ilikuwa bandarini ikiwa inaandaa kupakia mizigo.. inawezekana ni technical fault..sijapata details vizuri

hii itakuwa meli ya pili sasa kuwaka moto hapo bandarini kwa muda mfupi,
nadhani kwa sasa mambo ya safety na risk assessment yapo poor sana katika hii sector
 
wanasiasa wakija hapa wata i LINK na masiasa yao!
poleni mliopata maafa na meli hii
 
Back
Top Bottom