MV Butiama imezimika ni msaa 4 sasa hakuna msaada

Kuna watu wangapi melini? Ee Mola utuepushe na kadhaa hii. Twakuomba uwafikishe abiria wote salama. Amen!
 
Rais ataongoza rambirambi... !!!

nakututangazia msiba wa kitaifa!!!!!!! nchi hii wapi tupo gado angalau tujivunie na hii serikali yetu???

bado na hizi mvua tutashuhudia makubwa if at all we will survive!!!
 
yaani nnchi hii aacha tu, napiga simu pale kitengo cha maafa kutoa taarifa hizi zaidi ya nusu saa simu hazipokelewi, napiga Wizara ya miundo mbinu hapa mwanza na ofisi za ujenzi wanadai wanashughulikia swala hilo, ngoja niende kule bandarini nijue japo juhudi gani zinachukuliwa kuokoa hili janga lilikua jirani nasi.

Any updates please! Hao waliokwambia wanashughulikia wamefikia wapi? Tunakushukuru sana Nguvumali kwa jitihada zako. Mungu akubariki na tunakuombea juhudi zako zizae matunda watu hao watoke wazima.Hii ndiyo Tanzania. CCM wameyazoea madaraka kiasi cha kwamba wamesahau hata wajibu wao.
 
yaani nnchi hii aacha tu, napiga simu pale kitengo cha maafa kutoa taarifa hizi zaidi ya nusu saa simu hazipokelewi, napiga Wizara ya miundo mbinu hapa mwanza na ofisi za ujenzi wanadai wanashughulikia swala hilo, ngoja niende kule bandarini nijue japo juhudi gani zinachukuliwa kuokoa hili janga lilikua jirani nasi.

Kaka hatuna kitengo cha maafa nchi hii, sisi hatuna kitu tunakiweza wenyewe. yasije tu yakawa yale ya MV bukoba. hii ni aibu kwa taifa.
 
tafuteni hikikitabu uone jinsi mauzauza yalivowatesa watu kwenye ajali ya mv.bukoba.hiki ni kisa cha kweli jamaa alienusurika ametoa hiki kitabu.nimepata bahati ya kukisoma kupitia kwa mshikaji.
 

Attachments

  • mv.bukoba.jpg
    mv.bukoba.jpg
    117.9 KB · Views: 74
Hakika habari hizi ni za kusikitisha sana maana kama ni kweli basi Mungu asaidie kuona kama ndio hivyo. Hivi ofisi ya Maafa ya waziri Mkuu wanafanya nini??

Hiyo Ofisi ina mkuu aliyekwisha ota kutu kichwani. Maafa hayana fomula ya kuyatatua maana hayaji kwa mtindo mmoja. yanahitaji fast thinker.

Pale ofisi ya PM mkuu wake ni mstaafu. kisha choka hata ukimuona anaonekana kufikiri kwa taaabu saaan!

Lile la Mbagala alisema ni jambo lilitoke ghafla hivyo tunahitaji muda kujipanga, n.k. ....

Sijui nini maana ya maafa kwao.

Nafikia kiwango cha kuomba maafa kama haya yawakumbe wake zao na watoto wao ili akili ifanye kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom