Muziki

Hkiller_kisogo

New Member
Aug 23, 2015
3
0
Naitwa Hemedy Majid A.K.A Dizaya_platnumz.
Me ninakipaji cha kuimba Nyimbo Za bongo fleva na rnb. na kwasasa ninanyimbo mbili naomba sapoti ya menegment +255673125960
 
Me ninakipaji cha kuimba bongo fleva na rnb. na kwasasa ninanyimbo mbili naomba sapoti ya menegment +255673125960

Nisikufiche ili utoke haraka Kimuziki hapa Tanzania kubali mojawapo kati ya hivi nitakavyokutajia hapa:
  1. Ukubali kuwa ' begi ' la ' Mataita ' kusafirisha ' ngada ' kutoka Sao Polo Brazili, kuja Tanzania na kuupeleka Gauteng / Jozi Afrika ya Kusini.
  2. Ukubali ' kupumuliwa ' katika ' mtaro ' wako wa maji machafu na Team Tigo maarufu wa mjini ili na Wao wakupe ' Kiki ' hapa mjini ujulikane na utoke haraka.
  3. Ukubali kuwa ' kuwadi ' wa Watu maarufu kuanzia Wanasiasa na Wafanyabiashara.
Wengine watakuonea aibu kukuambia hivi huku wakizunguka zunguka katika majibu yao ila Mimi huwa sing'ati maneno, sipepesi masikio, sitikisi macho na simung'unyi ulimi na huwa naenda ' direct ' kwenye ukweli hata kama utamuuma ninayemuambia.

Kazi kwako sasa kuamua nini cha kufanya na nikutakie tu kila la kheri katika hizo Ndoto zangu za Kimuziki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom