muziki wa Tanzania waweza kuingizia billioni 100 kwa mwaka iwapo tukifanya yafuatayo

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wakuu habari zenu nina wazo ambalo nimeona nije niongee na nyinyi
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuhusiana na swala zima la mziki pamoja na movies za kibongo kwa kusema kuwa wanaonewa nimekaa na kuwazua nikaona ipo haja ya sisi wazawa kuanzisha system ambayo itasaidia kukuza muziki wetu na katika hili nimekuja na wazo kama sio hoja binafsi
Sisi tukianzisha website yetu pamoja na software system yetu ambayo muziki wote wa tanzania utaifandhiwa humo
Lets say tuiite jamii.com
Ukiingia huko utakuta kuna nyimbo zote za wasanii kwa alphabert order so msanii anaweza kufungua akaunti yake na kuhifandhi nyimbo zake huko Albamu yake n.k
MSanii ana uwezo wa kupanga bei yake na na watu kununua kazi zao kwa m pesa, tigo pesa na airtel money vile viel kukawa na system ya mabenk yetu kama crdb, nbc n.k
Tukawa tunafanya vikao na elimu kwa wasanii kuwa kuliko kiipeleka redioni kwanza wakawa wanaiweka ka website hiyo then watu wenye redio ndio wanafuata
Tunafuta system ya kutoa nyimbo kwa cd kwani cd ndio mwanzo wa kuibiwa kazi z wasanii kuwa zinAchomwa sisi mtu ili upate nyimbo ya msanii flani lazima uwe na software yetu kwa komputa au mobile na inakuwa vigumu kumrushia mtu au kumkopia mtu ambaye hana program yetu aidha kwenye simu yake au kwenye komputer yake
I think tukifanya hivi baada ya miaka mitano tatizo la kazi la wasanii kulia kuibiwa litaisha
Msanii mwenye account yetu atafaidika kwa mambo yafuatayo

Anauwezo wa kupanga bei yake

Yeye ndio anachukua asilimia kubwa ya mapato kuliko sisi 90 percent kwa 10 percent

Kutakuwa hakuna duplication ya kazi za msanii bila idhini yetu na kila duplicate moja inalipiwa na mapato yanaenda kwa msanii na sisi

Tunataka kuua mfumo wa cd na kuileta katika digital download

Msanii atakuwa anaweza ku monitor mapato yake kwani kazi zake zitakuwa zinauzwa kwa website yetu ambaye na yeye ana account kama msanii

Na hii sio kama mada zingine zinazoanzishwa bila ya kufanyiwa kazi hii kazi inafaNywa sasa hivi research inafanywa now

Nakaribisha maoni
Changamoto.ushauri
Na kila kitu nitajaribu kukijibu

So mawazo yako yanahitajika katika
 
Aisee mpaka nakuogopa...........umetoa changamoto amabyo inawekanza kabisa na iko ndani ya uwezo wetu.........naunga mkono hoja!
 
niliwahi kukutana na mtu mmoja akaniambia kuhusu hii kitu..na akanitambulisha kwa dada mmoja wa kimarekani au uingereza kama sikosei..kuwa yuko hapa kufanya tafiti ili nyimbo zetu ziwe kidigital zaidi...nimependa wazo..

Naunga mkono hoja...
 
Suala ni kwamba kuwa ki digital zaidi na kwa soko la hapa tanzania ndio idea yenyewe ua biashara kuliko mtu kwenda ku burn nyimbo kwa vibanda vya kuburn tunaweza kuwa na system fulani ambayo mtu anaweza kuwa akapata nyimbo kwa nei nafuu kabisa...
 
nimekusoma ....
 
CTU, naona una nia/idea nzuri ila kuna some stuff nataka unifafanulie zaidi. Mimi kama mnunuaji wa nyimbo, nitalipia ku-download nyimbo kutoka kwenye web application yenu. Nikiisha kui-download tayari ipo kwenye digital form and I can burn/copy/transfer it, albeit illegally, using any of the now-existing technologies without using ur web application/software. Hapo unakua umezuia vp wizi? It's simply a duplication of iTunes and the likes. Please clarify.
 
mimi siyo mtaalamu wa teknolojia ya it.ninakusifu kwa kwa kuumiza kichwa kufikiri namna ya kuwasaidia wtanzania wenzako wanaoibiwa na mapromota na watu wanao burn cd za watu hovyo mitaani.lakina kama mtu akishaanunua si anaweza ku izalisha tena na ugonjwa ukawa uleule? Tambua kuwa wataalamu kila kukicha wanagundua software za ku convert video na audio zalizowekewa security za kila aina na zinakuwa zinarecodiwa easly.zaidi ya hapo ujue kuna watu watundu kwelikweli kwenye mtandao ukiweka tuu.wata unlock security zako zote na kuvipost vinyimbo vyako kwenye pirate sites ambapo masela watachukua buure kabisa .hauoni hiyo itakuwa hatari zaidi?lakina hongera wazo lako ukiliboresha linaweza kuwa na mashiko aksante na mungu akubariki.
 
na mimi nasubiri jibu hapa kabla sijachangia.
 
nimekuelewa mkuu
kwanza kabisa mpaka kudownload nyimbo ni lazima uwe na software au system application yetu hilo moja so hatua ya kwanza ya wewe kupata nyimbo ya wasanii ni lazima uwe na system application yetu una i download then ukisha download na ukiwa nayo aidha kwenye pc au mobile au tablet ndio wewe utakuwa na uwezo wa kuwa na nyimbo za msanii

uki download nyimbo ya msanii itakuwa katika application yetu ambayo itakuwa haina option ya ku forward au ku send huo wimbo kwa mtu mwingine
tutajitahidi kwenda na wakati na ulinzi ndio changamoto yetu kuu kuwa tutajaribu tufanye kila njia kuzuia watu kutumiana nyimbo baada ya mmoja ku download kwa simu au computer yake
pili nyimbo katika simu itakuwa imehifadhiwa katika application yetu na sio kwenye folder za simu hakutakuwa na option ya mtu kuhamisha wimbo kutoka kwa application kwenda kwenye folder hii itasaidia kuzuia utumwaji wa nyimboi kwa njia ya blutooth au usb same kwa kwa pc
natumai nimekujibu vizuri
 
mkuu post yangu hapo juu nadhani ina jibu la swali lako
nashukuru sana kwa mchango wako
niulize kitu chochote nitajitahidi kukujibu
 
nimekuelewa mkuu
kwanza kabisa mpaka kudownload nyimbo ni lazima uwe na software au system application yetu hilo moja so hatua ya kwanza ya wewe kupata nyimbo ya wasanii ni lazima uwe na system application yetu una i download then ukisha download na ukiwa nayo aidha kwenye pc au mobile au tablet ndio wewe utakuwa na uwezo wa kuwa na nyimbo za msanii

uki download nyimbo ya msanii itakuwa katika application yetu ambayo itakuwa haina option ya ku forward au ku send huo wimbo kwa mtu mwingine
tutajitahidi kwenda na wakati na ulinzi ndio changamoto yetu kuu kuwa tutajaribu tufanye kila njia kuzuia watu kutumiana nyimbo baada ya mmoja ku download kwa simu au computer yake
pili nyimbo katika simu itakuwa imehifadhiwa katika application yetu na sio kwenye folder za simu hakutakuwa na option ya mtu kuhamisha wimbo kutoka kwa application kwenda kwenye folder hii itasaidia kuzuia utumwaji wa nyimboi kwa njia ya blutooth au usb same kwa kwa pc
natumai nimekujibu vizuri

Naomba uangalie vizuri maana ya "ku-download" kabla ya kujibu swali. File ikishakua downloaded kwenye digital device yeyote , kuzuia sharing ni IMPOSSIBLE.

The only way ambayo mtafanikiwa ni kama mtu atakua analipia hiyo software yenu, ana-install kwenye device yake (PC, phone and the likes) and then anasikiliza hizo nyimbo directly from ur software bila kuruhusiwa downloading. And that doesn't sound like much fun, does it?

Anyways, I'm simply highlightening the challenges. Kama mpo serious kuhusu kusaidia wasanii wasiibiwe I'm sure mtapata ways za kufanya hivyo coz it's very possible. Godspeed!
 
naomba uangalie vizuri maana ya "ku-download" kabla ya kujibu swali. File ikishakua downloaded kwenye digital device yeyote , kuzuia sharing ni impossible.

The only way ambayo mtafanikiwa ni kama mtu atakua analipia hiyo software yenu, ana-install kwenye device yake (pc, phone and the likes) and then anasikiliza hizo nyimbo directly from ur software bila kuruhusiwa downloading. And that doesn't sound like much fun, does it?

Anyways, i'm simply highlightening the challenges. Kama mpo serious kuhusu kusaidia wasanii wasiibiwe i'm sure mtapata ways za kufanya hivyo coz it's very possible. Godspeed!
mkuu nashukuru sana kwa mchango wako nitaifanyia kazi hii comment trust me i will......
 
wakuu habari zenu nina wazo ambalo nimeona nije niongee na nyinyi
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuhusiana na swala zima la mziki pamoja na movies za kibongo kwa kusema kuwa wanaonewa nimekaa na kuwazua nikaona ipo haja ya sisi wazawa kuanzisha system ambayo itasaidia kukuza muziki wetu na katika hili nimekuja na wazo kama sio hoja binafsi
Sisi tukianzisha website yetu pamoja na software system yetu ambayo muziki wote wa tanzania utaifandhiwa humo
Lets say tuiite jamii.com
Ukiingia huko utakuta kuna nyimbo zote za wasanii kwa alphabert order so msanii anaweza kufungua akaunti yake na kuhifandhi nyimbo zake huko Albamu yake n.k
MSanii ana uwezo wa kupanga bei yake na na watu kununua kazi zao kwa m pesa, tigo pesa na airtel money vile viel kukawa na system ya mabenk yetu kama crdb, nbc n.k
Tukawa tunafanya vikao na elimu kwa wasanii kuwa kuliko kiipeleka redioni kwanza wakawa wanaiweka ka website hiyo then watu wenye redio ndio wanafuata
Tunafuta system ya kutoa nyimbo kwa cd kwani cd ndio mwanzo wa kuibiwa kazi z wasanii kuwa zinAchomwa sisi mtu ili upate nyimbo ya msanii flani lazima uwe na software yetu kwa komputa au mobile na inakuwa vigumu kumrushia mtu au kumkopia mtu ambaye hana program yetu aidha kwenye simu yake au kwenye komputer yake
I think tukifanya hivi baada ya miaka mitano tatizo la kazi la wasanii kulia kuibiwa litaisha
Msanii mwenye account yetu atafaidika kwa mambo yafuatayo

Anauwezo wa kupanga bei yake

Yeye ndio anachukua asilimia kubwa ya mapato kuliko sisi 90 percent kwa 10 percent

Kutakuwa hakuna duplication ya kazi za msanii bila idhini yetu na kila duplicate moja inalipiwa na mapato yanaenda kwa msanii na sisi

Tunataka kuua mfumo wa cd na kuileta katika digital download

Msanii atakuwa anaweza ku monitor mapato yake kwani kazi zake zitakuwa zinauzwa kwa website yetu ambaye na yeye ana account kama msanii

Na hii sio kama mada zingine zinazoanzishwa bila ya kufanyiwa kazi hii kazi inafaNywa sasa hivi research inafanywa now

Nakaribisha maoni
Changamoto.ushauri
Na kila kitu nitajaribu kukijibu

So mawazo yako yanahitajika katika

mimi nina wazo tofauti na lako,hiyo system ambayo unapendekeza ya mteja wa muziki kuwa na akaunti ambayo kupitia hiyo ataweza kupata muzki wa msanii anayemtaka,kwanza haitakua user friendly,kama unavyojua elimu ya kompyuta tz yetu bado sana,na wapenzi wengi wa bongo fleva ni watu wa hali ya kawaida,wengi wao hawajui hata kuwasha,kwa hiyo itashindwa.ni mawazo yangu tu.tujaribu fikiria system ambayo itakua rahisi kwa watu wa aina zote kutumia.
 
nadhani tiba ya hili tatizo ni kuelimisha wasanii wetu sheria,mimi ningekua msanii wa bongo fleva,napotoa album yangu,kabla cjaingiza sokoni ntaajiri mwanasheria,huyo atanielimisha khs sheria ya hatimiliki na pia atakua mwakilishi wangu,wasanii wote wangefanya hivi kusingekua na tatizo,kwa sababu leo unweza weka mwanasheria wkt wenzako wanakubali kulipwa 2m kwa album,so inakula kwako,kwa hiyo la muhimu ni kuelimisha hawa vijana khs sheria na maamuzi wanayoweza kuchukua baada ya kujua sheria.
 
Nimeipenda swala la sheria ila kama ulivosema hapo juu wasikilizaji wa huu mzuki ni wananchi wa kawaida ila hata wanamziki nao wengi ambap hawajulikani ni watu wa kawaida uwezo wa kumwajiri mwanasheria
Ni ngumu co z wengi uunakuta studio kwenyewe kakopa kurekodi
Njaa ndio iNawasumbua sasa tunajaribu kuja na system ambayo hata msanii wa kawaida kiuwezo anaweza kuIhimili mkuu
 
Mkuu,mimi nina uhakika huu mzuki unalipa,usingelipa basi clouds wasingekuwa hapo walipo leo,ishu unamfuata lawyer(na leo wako wengi tu kitaa)mnakubaliana malipo baada ya yeye kupiga kazi unampa % flani.
 
nimekuelewa mkuu
kwanza kabisa mpaka kudownload nyimbo ni lazima uwe na software au system application yetu hilo moja so hatua ya kwanza ya wewe kupata nyimbo ya wasanii ni lazima uwe na system application yetu una i download then ukisha download na ukiwa nayo aidha kwenye pc au mobile au tablet ndio wewe utakuwa na uwezo wa kuwa na nyimbo za msanii

uki download nyimbo ya msanii itakuwa katika application yetu ambayo itakuwa haina option ya ku forward au ku send huo wimbo kwa mtu mwingine
tutajitahidi kwenda na wakati na ulinzi ndio changamoto yetu kuu kuwa tutajaribu tufanye kila njia kuzuia watu kutumiana nyimbo baada ya mmoja ku download kwa simu au computer yake
pili nyimbo katika simu itakuwa imehifadhiwa katika application yetu na sio kwenye folder za simu hakutakuwa na option ya mtu kuhamisha wimbo kutoka kwa application kwenda kwenye folder hii itasaidia kuzuia utumwaji wa nyimboi kwa njia ya blutooth au usb same kwa kwa pc
natumai nimekujibu vizuri

naifikiri ukoo wangu ambao karibia wote hawana simu wala computer, hawajui hata mambo ya internet. Wengi ni wapenzi wa miziki maana majumbani kwao kuna masabufa ya nguvu na CD za kila nyimbo, tv na deki kwa ajili bongo movies. Vp hiyo system mpya haitowapoteza wateja dizaini ya ukoo wangu?
 
Ni kweli kabisa uyasemayo ni kweli lakini sasa huu ndio wakati wa technolojia
Cha msingi itatolewa elimu ya hali ya juu kwa ajili watu wa adapt mabadiliko ya technolojia
Ambayo tunapitIa kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom