Muziki kwenye misiba

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Habari wanajf. Kumekuwa na utamaduni wa kupiga muziki mkubwa kwenye misiba sehemu nyingi mijini na vijijini, ikitokea msiba wafiwa wanataka muziki ukodishwe ili wakeshe. Je huu utamaduni niwetu na nini faida yake? NB. Katika pitapita zangu hii cjaiona kwenye misiba ya kiislam.
 
Kuna sherehe tatu tu kuzaliwa,kuoa au kuolewa na kufa hivyo hiyo huwa ni ishara ya kusherehekea ndio maana hakuna msiba usiokuwa na chakula cha wote waislamu wao mwili haulali hvy haina haja ya kukesha wakati mmeshazika hata kwa wakristo hwa ni kwa kipindi ambacho hawajazika

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimeuonja utamu wa ...........! piga gitaa wewe ache maneno, hata huko juu wanapenda hii makitu!
 
Wewe haiukuhusu.
Ukifiwa lia mwanzo mwisho jigalagaze hakuna atakayekuuliza.
Wenye kupiga muziki na kukesha ni haki na uchaguzi wao.
Unadhani ukilia sana ndio atafufuka au hatapata hukumu kwa matendo yake?
 
Kiduku usiku kucha n wafiwa full kung'ara make up za kufa mtu, bling bling, mpaka kulia wanasahau wanabaki kutabasamu 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habari wanajf. Kumekuwa na utamaduni wa kupiga muziki mkubwa kwenye misiba sehemu nyingi mijini na vijijini, ikitokea msiba wafiwa wanataka muziki ukodishwe ili wakeshe. Je huu utamaduni niwetu na nini faida yake? NB. Katika pitapita zangu hii cjaiona kwenye misiba ya kiislam.

Huu utamaduni ni wa kawaida sana mkuu, nenda kwa kabila la wajaluo ndiyo utaona mambo
 
Sina uhakika kama marehemu huwa wanahitaji kusheherekewa au kusikitiwa...
 
[h=1]Mashambulizi ya kuogofya Nigeria[/h]
16 Oktoba, 2012 - Saa 10:20 GMT



120501184938_maiduguri_304x171_bbc_nocredit.jpg
Waathiriwa wa mapigano mjini Maiduguri


Milipuko ya sauti ya juu pamoja na milio ya risasi ilisikika leo mjini Maiduguri, Kaskazini mwa Nigeria, mji ambao umeshuhudia ghasia na vurugu zinazosababishwa na kundi haramu la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram.
Taarifa kuhusu mashambulizi hayo bado hazijatolewa , lakini inaarifiwa angalau watu kumi wameuawa ikiwemo wanajeshi kadhaa.
 
Back
Top Bottom