Muwe na HURUMA NECTA jamani!!

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Hawa Baraza la mitihani mbona hawana huruma kabisa,unaweza ukafa ukazimia ukiona umepata C-2(Credit 2)afu umekoswa 1 tu kwenda form 5 jamani hii inauma sana tena sana yan ni bora wange2hurumia 2 kwa wale 2liopata Credt 2 waka2wekea 1 ili 2endelee moja kwa moja co kureseat..
 
ndiyo shida ya umwanaasha hiyo, kama ni hivyo sheria za kazi gani? Unashindwaje kupata C tatu kama uko serious? Hakuna huruma kwenye elimu
 
ulitakiwa ujionee huruma ww kwanza kwa kusoma kwa bidii, we husom afu unataka uhurumiwe. acha usharo pga buku. vya kuhurumiwa in ghali sana. take care
 
Kwani c 2 huwezi kuxoma 4m5 huku unatafauta credit 1? Then u kipata unaendelea 4m6?
 
ulitakiwa ujionee huruma ww kwanza kwa kusoma kwa bidii, we husom afu unataka uhurumiwe. acha usharo pga buku. vya kuhurumiwa in ghali sana. take care

dah!aisee ungeniona nilivyokuwa napga buku dah!ungenionea huruma lakn necta ilivyokuja ni tofauti na niliyo yasoma katka baadh ya masomo,sasa hapa c bora niende chuo maana nina D-4,F-1,NA C-2.
 
na kureseat kwenyewe kugumu ile mbaya ni kupoteza mda 2.

hamna kaza buti m2 wangu koz mi mwenyewe nimewahi kureset masomo 4 na nikapata zote crdt. So juhudi na maombi bila kukata tamaa ndo siri ya mafanikio. Kp t up broda
 
dah!aisee ungeniona nilivyokuwa napga buku dah!ungenionea huruma lakn necta ilivyokuja ni tofauti na niliyo yasoma katka baadh ya masomo,sasa hapa c bora niende chuo maana nina D-4,F-1,NA C-2.

uliweka juhudi ktk kusoma sana , ulitakiwa kuweka juhudi ktk kusoma na kuelewa zaidi. baraza la mitihani halitahini uwezo wa mtu kusoma bali linatahini uelewa wa mtu. ulipaswa kutambua kuwa yote unayoyafanya ukiwa shule yawe na lengo moja tu nalo ni kuelewa, ukisha elewa ndiyo unaweza kufaulu kuwathibitishia wengine kuwa umeelewa, na moja ya hao wengine ni baraza la mitihani
 
Back
Top Bottom