Muuzaji si anajulikana………………....!

Mtambuzi hivi kweli haya mauzi unayapata wapi. kweli wewe nimekukubali. hongera sana mkuu.

Mamndenyi haya mauzi ninayoweka humu ni mauzoefu yangu niliyopitia wakati wa ujana wangu.....................Unajua enzi zangu nilikuwa matata sana hasa kwenye kile kipindi cha kutaka kujionyesha kwamba jogoo anawika..........................LOL
 
Wewe bado ni kijana tu. naona una kipaji cha ziada.
 
Back
Top Bottom