Muuza pizza kamuona Obama akamkimbilia na kumnyanyua juu kwa juu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
Muuza piza amemnyanyua juu obama.jpg


Muuza pizza kamuona Obama akamkimbilia na kumnyanyua juu juu kwa bongo
Unaweza kumnyanyuwa juu kwa juu kiongozi wako?
 
Bongo ukmsalimia raisi hakikisha mkono unamfikia,ukiishia njiani utakula virungu vya kukutosha!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, bongo ukijiandaa kufanya haya ujiandae na kuvunjwa na kiuno
 
Nitazingatia yote hayo mkuu ila wewe nitakurithisha guta langu na mbuzi wawili na paka mmoja pamoja hii Id yangu
 
Back
Top Bottom