Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 15
Duh jamaa kwa misele simuwezi.
Hivi kuna mwenye dataz gharama za route moja mungwana akitoka ni kiasi gani walipa kodi wanamlipia? Yawezekana ndo rais wa kwanza Afrika anaye piga misele nchi mbali mbali hapa duniani.
Hivi Mkulu amemaliza matibabu yake US?? Nayaona yale ya Nigeria na Umar Musa Yar'Adua.... Dr Shein inabidi akae mkao wa kula 2011 urais huo hata wa kukaimu tuu...