Muungwana Safarini Tena!

Duh jamaa kwa misele simuwezi.
Hivi kuna mwenye dataz gharama za route moja mungwana akitoka ni kiasi gani walipa kodi wanamlipia? Yawezekana ndo rais wa kwanza Afrika anaye piga misele nchi mbali mbali hapa duniani.
 
Huyu inaonyesha retirement itam-boa kinoma, labda awe anapiga misele ya ndani tu
 
duh muungwana anachokifuata hata hatukioni au ndo anataka kuiuza Bongo yetu?maana Kigamboni tayari sasa kaeni macho wakulu hehehe..maoni tu.
 
Kuna haja ya kupitisha sheria ya kudhibiti mwenendo wa safari za rais, na viongozi wengine wa serikali. Pamoja na kuwa travelling is part of working but when there is too much travelling it raises a lot of questions. KUna mtu anayeweza kutuambia kati ya siku 1825 rais wetu ametumia siku ngapi ziarani, na hasa Marekani? He has to be home working, he has to be in the office working. So far there is nothing substantial that can be presented to Tanzania as a benefit of his trips. The Media is also letting us down for not reporting why does he have to travel to US everytime and what exactly is Mr President doing in his US visits.
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba wasaidizi wa Rais ndiyo hasa wanaotaka hizi safari na ndiyo wanatafuta justification ya safari hizi all the time; kwa sababu they have a lot to gain.
 
Mtumishi yoyote wa serikali anapo safiri(pamoja na elected officials kama raisi) wana lipwa per diem. I wonder if that has anything to do with him traveling a lot. Food for thought.
 
Huyu Mheshimiwa sijui kichwani kwake kuna madudu.....
Kila siku safari moja inaanzisha nyingine mmh!
 
Duh jamaa kwa misele simuwezi.
Hivi kuna mwenye dataz gharama za route moja mungwana akitoka ni kiasi gani walipa kodi wanamlipia? Yawezekana ndo rais wa kwanza Afrika anaye piga misele nchi mbali mbali hapa duniani.
ndugu mbona unapost ''kibeba-boxi?''....i mean unapost vitu LATE HOURS...kunani?:D:D
 
- According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Muungwana atakuwa njiani kuelekea US taarifa zaidi baadaye!

Respect.

FMEs!

Duh jamaa kwa misele simuwezi.
Hivi kuna mwenye dataz gharama za route moja mungwana akitoka ni kiasi gani walipa kodi wanamlipia? Yawezekana ndo rais wa kwanza Afrika anaye piga misele nchi mbali mbali hapa duniani.

Naona anapenda sana kupanda ndege

Huyu inaonyesha retirement itam-boa kinoma, labda awe anapiga misele ya ndani tu

Ni bora angeomba kazi ya uhudumu wa ndege ingemfaa zaidi!:D

teh teehhh teeeeehhh tarehe ya leo wengi hawajui;):D:D
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba wasaidizi wa Rais ndiyo hasa wanaotaka hizi safari na ndiyo wanatafuta justification ya safari hizi all the time; kwa sababu they have a lot to gain.

Hii si kweli. Haiwezekani wasaidizi wapange safari ambayo bosi wao hajaiafiki, unless kuna issue ya role reversal hapa, kuwa hao wasaidizi ndio de facto president na yeye ni packaging material tu.
 
Back
Top Bottom