Muunge mkono mdada huyu Mjasiriamali wa huduma za uchapishaji (Printing)

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,427
1,475
habari wana jf
kuna dada mmoja mjasiriamali anaomba kuungwa mkono katika ofisi yake inayoshughulika na mambo yote ya printing za bronchures,posters,newsletters,leaflets & flyers,booklets,calenders &diaries,books,headed papers,t-shirts,caps,wheel covers,ID cards,bag folders,banners,flags and many more.ofisi yake ipo kariakoo mtaa wa kongo . kwa mawasiliano namba zake ni 0785-505750 au 0717999090 au kwa email ni shabanirebecca@gmail.com
asanteni wadau
 
Ni vizuri akaweka bei yake hapa ili tulinganishe make kampuni za kuprint ni nyingi sana so ni bora unapoandika humu jaribu kutushawishi kwa vitu vingi, make wengine hatuko Dar so ni lazima atushawishi turuke makampuni yote yaliyoko huku tuje huko Dar kumtafuta,

Mfano

1. Ni kwa nini tununue kwa huyu dada na si mwingine?

2. Kuna kitu gani ambacho ni unique anacho fanya?
 
bei ya nini mkuu?? some products ni customised na bei inategemea products specifications
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom