Muungano

KUNYWA

Member
Sep 30, 2011
32
0
SIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA.

IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE ANAELIFANYA NI MTU MMOJA TUU(Mwl Nyerere)?MBONA KARUME HAONEKANI KUSHIRIKI? NAOMBENI UFAFANUZI KWA WANAOELEWA HILI.
 
Ukiwauliza CCM watakwambia ni sehemu ya kero za muungano na wanatafuta ufumbuzi. Sasa sijui watatumia kompyuta kumeweka KARUME!
 
Katika Muungano wowote,kila upande huleta mwakilishi japo walau mmoja kujumuika katika tukio maalum kama hili.Sasa kwetu Tanzania tukio hili lilikuwa hiyari au lazima?
 
MKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
 
Hata hiyo hati ya muungano haijulikani ilipowekwa,ambayo inatuonyesha masharti n
 
hujasoma siasa au uraia?? au hata historia basi??

Maswali mengine aisee

hata kama hatupendi muungano, tuuchukie kwa output yake lakini waliouanzisha walikua na nia njema iliyofeli
 
MKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
Umuhimu wa picha ya kuchanganya udongo, ndugu Taya, ni kwamba ile ndio kielelezo cha ushahidi wa tukio la Muungano. Hati ya Muungano haipo! Badala yake tunapewa picha ya kuchanganya udongo na ndio maana watu wanachambua picha! Sasa watu wameamka, hiki sio kizazi kile cha wazee wetu waliopokea kila uzuri na upupu wa viongozi "wazazi" wa Taifa bila kuu question. Tunadai hati ya Muungano!

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alipewa amri na Mahakama Kuu alete hati ya Muungano mahakamani, akarudi akasema haipo!
 
Taso nashukuru kwa kuliona hilo maana kusema ukweli hata ile hati ya muungano haijulikani ilipo.Ndio maana nakubaliana na MtamaMchungu kuufananisha muungano wa siku ile sawa na ndoa ya mkeka.
 
SIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA.

IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE ANAELIFANYA NI MTU MMOJA TUU(Mwl Nyerere)?MBONA KARUME HAONEKANI KUSHIRIKI? NAOMBENI UFAFANUZI KWA WANAOELEWA HILI.
Kama ulikuwa hautembei humu wakati ukiwa guest, nakushauri ujipe muda wa kuzungukazunguka utakutana na thread ya zamani ikizungumzia suala hili kwa marefu na mapana. naamini utapata majibu yako humo
 
Naomba unikumbushe thread hiyo title yake iliandikwaje ili niitafute ndugu.
 
hujasoma siasa au uraia?? au hata historia basi??

Maswali mengine aisee

hata kama hatupendi muungano, tuuchukie kwa output yake lakini waliouanzisha walikua na nia njema iliyofeli

Katika kusoma kwangu,nilichofundishwa kwa ushahidi ni kutumia picha ninayoimaanisha.Si kana kwamba nachukia Muungano kama unavyodhani.
 
MKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
Mkuu
Muungano wetu tulio nao tuufananishe na muungano gani dunia hii ? hao walioungana mmoja kafa bado tuna muungano ?
 
tafuta kitabu kiitwacko "Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" there you will learn a lot about muungano
 
Sasa ndugu yangu Zamboni,Mbona hiyo TITLE ya kitabu yanstaajabisha??Kwa hiyo uhuru kaheri,halikadhalika ukoloni kwaheri.Kwa hiyo karibu nini au UFISADI?
 
Back
Top Bottom