Elections 2010 Muungano wa vyama Mbeya mjini CHADEMA imo?

kasyabone tall

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
254
59
Wakuu,
Ninaomba kunielewesha kidogo juu ya muungano wa vyama vya upinzani mbeya mjini. Kwanza kabisa napenda kujua kama CHADEMA imo, Pia kama haimo kwanini? Kwa sasa naona kampeni za huyo jamaa wa CUF anayeungwa mkono na vyama vilivyoungana zimenoga, Je si wakati mwafaka kwa CHADEMA sasa kuungana na vyama vingine? kama haijafanya hivyo.
Ikiwa CHADEMA haimo kwenye muungano huo, Nafasi ya ushindi kwa mgombea wa CHADEMA (Sugu) ikoje?
 
Sugu anajiweza mwenyewe haitaji kuungwa mkono na watu wachache!
 
Muungano unaoratibiwa na ccm hauna maana yoyote kwa mageuzi
 
bora sugu kuwa presidente kuliko huyo mgombea u-presidente wa cuf
 
Sijaona jibu la hoja iliyotolewa...kuwa kama Chadema haimo ni kwanini? binafsi nimependa umoja wa aina hiyo kwani unaleta upinzani wa kweli ila tatizo la umoja kama huu ni vyama kutoaminiana hasa katika ngazi za juu kama uraisi..nadhani hii inaweza kuwa na matokeo mazuri kwa muungano huo kwani Kenya walifanikiwa. kinachotakiwa ni dhamira ya dhati ya wanaoungana na sio kuwabeza kuwa wanaratibiwa na CCM kwani hiyo ni kuwakatisha tamaa...nadhani pia mgawanyiko uliopo unaweza kusababisha CCM kushinda coz wakiungana wote CCM atapata za wanachama wake tu na wao watapata za wapinzani wote..nadhani iko haja ya vyama kuunganisha nguvu ila kwakuwa kila mtu anataka ale yeye basi huwa hawawezi kuungana hata kwenye mambo ya msingi, walijaribu wakaishia hewani.
 
Sema mzee naona uko kibaruani kama kawaida AUGUST'S

Mwanamosi
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateMon Aug 2010Posts70Thanks : 4
Thanked 24 Times in 18 Posts
Rep Power21
 
katiba hairuhusu muungan o wa vyama ,huo muungano unaitwaje? hamuwezi kuweka muungano halafu mgombea wa CUF agombee this is non sense
 
Sugu anajiweza mwenyewe haitaji kuungwa mkono na watu wachache!
Sema tatizo CUF chama cha waislam na CHADEMA cha __________________ na ndio maana hamuwezi kuwaunga mkono au sio mukubwaaaa?
 
Sijaona jibu la hoja iliyotolewa...kuwa kama Chadema haimo ni kwanini? binafsi nimependa umoja wa aina hiyo kwani unaleta upinzani wa kweli ila tatizo la umoja kama huu ni vyama kutoaminiana hasa katika ngazi za juu kama uraisi..nadhani hii inaweza kuwa na matokeo mazuri kwa muungano huo kwani Kenya walifanikiwa. kinachotakiwa ni dhamira ya dhati ya wanaoungana na sio kuwabeza kuwa wanaratibiwa na CCM kwani hiyo ni kuwakatisha tamaa...nadhani pia mgawanyiko uliopo unaweza kusababisha CCM kushinda coz wakiungana wote CCM atapata za wanachama wake tu na wao watapata za wapinzani wote..nadhani iko haja ya vyama kuunganisha nguvu ila kwakuwa kila mtu anataka ale yeye basi huwa hawawezi kuungana hata kwenye mambo ya msingi, walijaribu wakaishia hewani.

Mimi ndio maana nitaendelea kumpigia kura yangu Jakaya na nitapendekeza katiba irekebishwe ili agombee miaka 10 mingine ya ziada tatizo lenu chadema mnajiona mnaweza sana lakini hamkubali kuwa hamjui na hii ndio maana unaona hamkuwa na matayarisho yoyote sijui mnategemea nguvu za giza?
 
Back
Top Bottom