Muungano uko wapi katika michezo?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
ZAnzibar 1 vs 0 Tanzania

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=t_OX_wa4jRw[/ame]

Kazi kweli kweli...
 
hii ilikuwa post yangu kwa thread ya "mwiba" nafikiri inaweza kusaidia ujibu swali lako. kila la heri

kwa kukusaidia mkuu, sio nchi zilizoshindana na kama zingekuwa nchi, zanziba isingeruhusiwa kushiriki. zilizoshingana ni timu zinazoidhinishwa na vyama wanachama wa cecafa!

muhidini ndolanga alikuwa mwerevu sana wa mambo ya soka ndoio maana akina kapuya na uprofesa wao walichemsha. walikuwa na akili kama hizi wakifikiri fat ilikuwa idara ya serikali umbe kilikuwa chama kilichundwa na wadau, kikiwa huru na kwa uhuru kiliomba uanachama katika chama kingine huru cha fifa na kukubaliwa hivyo serikali haina uhalali wa kuingilia mambo ya soka kama serikali, bali inaweza kushauri tu kama wadau wengine.

sasa wewe mzenji, ni kuwa zanziba si nchi, ilijinyonga yenyewe tangu 1964, hiyo ilyoshiriki mashindano si timu ya taiifa ni timu ya mkoa wenye uanachama wa cecafa! kuhusu kushinda ama kutoshinda, siku zote ni dakika 90 ndizo huamua! hujasikia mabingwa wa ligi kuu ya nchi ya tz yanga imefungwa na timu ya daraja la kwanza tmk united? hiyo ndo soka, hakuna cha ajabu.

asiyekubali kushindwa si mshindani, hongereni sana wakubwaaaaaaaaa kwa ushindi ila mtuombee tuepushwe na mwalmu wa nidhamu(discipline master) wa timu yetu, maximo. mtuombee angalau nasi tupate mwalimu wa mpira hata kama ni mzawa. maximo alituzuga kuwa amekuja kufundisha mpira, kumbe amekuja kufundisha nidhamu! na jk anavyomtetea, nadhani naye ameishakuwa mwanamtandao!!!!!!!!

Mungu ibariki tanzania
 
Huu nao ni unafiki mwingine katika muungano wetu ambao viongozi wetu wameshindwa kuutolea tamko la kisiasa. Haya ni matokeo ya zanzibar kutaka kutoa single zake mwenyewe ki michezo na ndio maana aliomba uanachama wa FIFA akanyimwa. Haya mambo yana mashiko ya kisiasa ni vyema politicians wakaacha bla bla na waka weka wazi suala hili, wanatuchanganya sana.
 
hii ilikuwa post yangu kwa thread ya "mwiba" nafikiri inaweza kusaidia ujibu swali lako. kila la heri

kwa kukusaidia mkuu, sio nchi zilizoshindana na kama zingekuwa nchi, zanziba isingeruhusiwa kushiriki. zilizoshingana ni timu zinazoidhinishwa na vyama wanachama wa cecafa!

muhidini ndolanga alikuwa mwerevu sana wa mambo ya soka ndoio maana akina kapuya na uprofesa wao walichemsha. walikuwa na akili kama hizi wakifikiri fat ilikuwa idara ya serikali umbe kilikuwa chama kilichundwa na wadau, kikiwa huru na kwa uhuru kiliomba uanachama katika chama kingine huru cha fifa na kukubaliwa hivyo serikali haina uhalali wa kuingilia mambo ya soka kama serikali, bali inaweza kushauri tu kama wadau wengine.

sasa wewe mzenji, ni kuwa zanziba si nchi, ilijinyonga yenyewe tangu 1964, hiyo ilyoshiriki mashindano si timu ya taiifa ni timu ya mkoa wenye uanachama wa cecafa! kuhusu kushinda ama kutoshinda, siku zote ni dakika 90 ndizo huamua! hujasikia mabingwa wa ligi kuu ya nchi ya tz yanga imefungwa na timu ya daraja la kwanza tmk united? hiyo ndo soka, hakuna cha ajabu.

asiyekubali kushindwa si mshindani, hongereni sana wakubwaaaaaaaaa kwa ushindi ila mtuombee tuepushwe na mwalmu wa nidhamu(discipline master) wa timu yetu, maximo. mtuombee angalau nasi tupate mwalimu wa mpira hata kama ni mzawa. maximo alituzuga kuwa amekuja kufundisha mpira, kumbe amekuja kufundisha nidhamu! na jk anavyomtetea, nadhani naye ameishakuwa mwanamtandao!!!!!!!!

Mungu ibariki tanzania

sasa wewe mzenji, ni kuwa zanziba si nchi, ilijinyonga yenyewe tangu 1964, hiyo ilyoshiriki mashindano si timu ya taiifa ni timu ya mkoadakika 90 ndizo huamua! hujasikia mabingwa wa ligi kuu ya nchi ya tz yanga imefungwa na timu ya daraja la kwanza tmk united? hiyo ndo soka, hakuna cha ajabu. wenye uanachama wa cecafa! kuhusu kushinda ama kutoshinda, siku zote ni...

Mungu wabariki wa Tanzania...
 
Mungu wabariki wa Tanzania...[/QUOTE
Hapa diplay ni Tanzania na Zanzibar, na muungano wa Zanzibar na Tanganyika ndio umeleta jina Tanzania. Haielweki sasa katika hili Tanzania ni wepi??Labda kama jina la timu lilipelekwa kisiasa. Vinginevyo mataifa nengine hayatuelewi wa Tanzania. (kumbe kuna Zanzibar na Tanzania??)
 
Nowhere to hide ,kamuulizeni Pinda mmefungwa na nchi gani ? Sasa subirini mapokezi pale bandarini Zanzibar wanaandaa mapokezi si ya kawaida.
 
kama ni nchi labda ni hizbuland ambayo sikumbuki kama niliiona kwenye ramani ya dunia wakani nikiwa skuli!!!!!!!!!!!

hata hivyo nadhani wa kujibu vizuri swali lako ni maximo
 
Nowhere to hide ,kamuulizeni Pinda mmefungwa na nchi gani ? Sasa subirini mapokezi pale bandarini Zanzibar wanaandaa mapokezi si ya kawaida.
teh teh teh, karibuni darajani leo usiku kuna sherehe ya kujipongeza kuwafunga Tanzania...
 
Kuwafunga Tanzania ? Zanzibar haijawahi kucheza na Tanzania nakumbuka timu ya Taifa Star ndio ikiwakilisha Tanzania ila hii tulioipa kisago cha paka mwizi kitanzi kimoja tu na kuondoka na ushindi wa Cplus sijui hadi hii leo tumeifunga nchi gani ,nwachia Pinda atujibie.Lazima atakumbana na suala hili katika masuala ya papo kwa papo .
 
Kuwafunga Tanzania ? Zanzibar haijawahi ucheza na Tanzania nakumbuka timu ya Taifa Star ndio ikiwakilisha Tanzania ila hii tulioipa kisago cha paka mwizi kitanzi kimoja tu na kuondoka na ushindi wa Cplus sijui hadi hii leo tumeifunga nchi gani ,nwachia Pinda atujibie.Lazima atakumbana na suala hili katika masuala ya papo kwa papo .

hivi viswali saizi ya maximo, pinda bonge la "kichwa" atapangua tu kama kawaida yake!!!!!!!
 
Mengine hayapanguliki maana kama ni hivyo ndege mjanja asingenasa kwenye tundu bovu ,
another point of correction...............TANZANIA HAIWEZI KUCHEZA AGAINST TANZANIA.......ZANZIBAR NI SEHEMU YA TANZANIA Au sivyooo...............mechi zenu na kuwepo kwenu kwenye mashindano yale ni batili. Yaani mungelifika fainali hata mungefanikiwa kushinda fainali hizo bado rufaa ingewaliza maana hamjulikani mnawakilisha nchi gani.
 
Zanzibar oyeeee....karibuni sherehe inaanza....
 
Zanzibar will remain forever ,suali je Tanganyika will rise again like Jesus or will come again like Jesus? Nasubiri wale wanaoshukiwa na loho Mtakatifu watuwekee sawa kama huyu raisi wetu ambae walisema ni chaguo la Mungu ,nasikia siku hizi ukisikika barabarani unasema hivyo basi utaenda jela.
 
wakati mwingine watoto watukutu hukutana na kichapo. halafu haiwezekani watoto wa baba mmoja wakawa na nidhamu kamka baba yao. wengi wetu bule bilesh hatuna mashtuz mazuri kwa waliokaribu nasi. familia gongana poa famili achana hapana. mshikamano bwana inapokuwa interest za taifa inapokuwa hapa nyumbani kila mtu na lake.wametekeleza walichosema tutamtia aibu huyu mwanahizatya anayesema zenj hakuna wachezaji mhh ame kweli wametia adabu kiduchu okota, kiduchu hangaika nacho yaani bonge la kidali po.
 
Back
Top Bottom