Muungano: Siku za maisha yake zinaelekea ukingoni?

Watanganyika wanataka u-bwana kwa Wanzanzibar, wanasema muungano na uvunjike lakini Zanzibar mtaumia, Zanzibar mtatu miss. Ni kama mchumba anaetaka kukuacha unamwambia utani miss, utaumia, wewe ndio utam miss ndio maana unam bembeleza abaki.

Kama Zanzibar na Tanganyika wanataka kuvunja Muungano na uvunjike, hakuna haja ya kumuongelea mwingine kwamba ataumia, atakumiss.

Tanganyika hatutaki Muungano kwa sababu unatunyonya, tunabeba mzigo wa ka-wilaya kukapa hadhi ya nchi ndani ya nchi na kugawana rasilimali na nafasi za uongozi kama ubunge ambazo ni devastatingly costly to the mainland.

Vunja kwanza mapatano baadae.
 
Back
Top Bottom