Kwakweli umenigusa sana na wazo lako kwamba muungano uvunjwe na Zanzibar iwe nchi kama Kenya au Uganda halafu tuangalie namna tunaweza kushirikiana kama tunavyoshirikiana na nchi zinazotuzunguka hii ni dawa tosha kabisa ya hili donda ndugu
 
Tunachohitaji ni marekebisho, technically ndani ya muungano, bado Bara tuna-responsibility ya kuwabeba kiusalama ndugu zetu weusi wa huko visiwani, hiyo statement hapo juu ni very irresponsible kijana, ndio faida ya amani kwa wingi hata mnasahau ilikotoka!Tunasema muungano ufanyiwe marekebisha kupunguza kero za pande zote mbili, sio kuuvunja!, Hayo maneno yako ya kuuvunja sio msimamo wa hii forum I must m,ake that clear kabla mtu hajafikiri wote tunakuunga mkono, HAPANA, na hakuna kura bro!Halafu wewe si upo London, JM yuko hapo kwa mapumziko mpigie, kwenye hii namba # 44-789-983-0670, piga kwa adabu uliza kiungwana utapewa majibu murua kuhusu huu muungano acha ngebe ngebe hapa!, pia Mzee mwenyewe RO naye yupo hapo!
Tunachohitaji kwenye muungano kwasasa kimeshapatikana kupitia katiba pendekezwa,kazi kwetu kuisoma na kuielewa ili kuepuka upotoshaji
 
  • Hawataki jeshi,polisi na usalama wa taifa viwe vya muungano.
  • Urais na uwaziri mkuu uwe ni wakupokezana kila msimu
  • Misaada inayotolewa na nchi wahisani igawaje 50% kwa Zanzibar na 50% kwa bara kwa maana ya nchi mbili zinazounda taifa la Tanzania.
 
Kwa maana hiyo wanataka uchaguzi wa mwaka huu, rais na waziri mkuu wa tanzania atoke zanzibar.
 
Hivi nyie watu humu haya niliyoandika ni upuuzi ama nini? Watanzania tumezoea mpaka kitu kitendeke ndiyo tuanze kulalamika. Haya mambo yataingizwa kwenye katiba ya muungano. Hivi ni kweli watu humu ndani mnayaunga mkono au hamna la kusema. Najua Mkandara unayaunga mkono how about the rest?


Nonsense hujielewi wewe!!
 
Kwakweli umenigusa sana na wazo lako kwamba muungano uvunjwe na Zanzibar iwe nchi kama Kenya au Uganda halafu tuangalie namna tunaweza kushirikiana kama tunavyoshirikiana na nchi zinazotuzunguka hii ni dawa tosha kabisa ya hili donda ndugu

Huna jpya nenda kaformat akili yako kwanza ikikaa sawa ndio uje na hoja yako hapa,Katiba inayopendekezwaimeweka wazi katika ibara ya 5 (b) Muungano ni moja ya Tunu za Taifa!wewe unayewaza kuuvunja unatKa kuupeleka wapi?mfukoni mwako?rudi darasani ukajifunze.
 
nakuelewa kanisa ndivyo linavyodanganya kuhusu unguja na pemba , masikini akili za kondoo zimekuwa kama kondoo kweli ,

Hivi kabla ya huo uvamizi kulikuwa na nini ???


HOFU YA ZANZIBAR HURU NI UISLAMU KWA SABABU KANISA LINAOGOPA KONDOO WATAGEUKA WATU NA KUANZA KUUONA UKWELI

Unabwata tu kwani wewe ndiO wa kwnza?uko unahangaika tu Hatufiki humo na wala hatutarajiiL!!!!
 
Back
Top Bottom