uvunje kabsaa hautusaidii watanganyika kabsaa.
tatizo watanganyika hatujijui
uvunje kabsaa hautusaidii watanganyika kabsaa.
Natamani ungevunjika hata juzi au jana.Ila basi potelea mbali uvunjike hata sasa uuhivi baada ya ku-reply.[/]
ajeee kuna TANZANIA. BILA YAsas saa KUWA NA TANGANYIKA NA ZNMANZIBAR?
Acha kubwabwaja kama hujui kasome kwanza.
wewe hunatofaut na yule aluesema TANZANIA ni muungano wa PEMBA NA ZIMBABWEEE!!!!!!!
muungano tuudumishe na rasimu hii ya katiba hii tuipitishe
-muungano xyo jinawanaopinga muungano wakasome vizur kwn hawajui,hii acronym(Tanzania) imetokana na combination btn TANGANYIKA and ZANZIBAR,,,kwahyo kwakutamka tu neno Tanzania tuna mantain muungano,,,cha muhimu muungano uboreshwe
your anIdiotMuungano Tupa kule, ule mchanga waliouchanganya tupa baharini. utajichuja wa bara na visiwani. Ikiwezekana Zenji tuisukumie huko karibu na Madagascar. Muungano kero. Vunja, kila mtu na lake.
Nihatua nzuri katka kuulinda kwani mali ndio chazo cha mfarakano hata ndugu wa familia moja hugombania mali sasa hawa wameweka mamba wazi tusihoji bila kuangalia mantiki ya hoja.
Pasipo na Tanganika kutakuja kupatikana pemba, unguja na tanganyika muda si mrefu[/QUOTE
hakuna muungano , kuna uvamizi wa tanganyika kwa zanzibar.
Waziri mkuu wa zanzibar na mawaziri wenzake walifungwa jela za tanganyika kabla huo uitwao muungano wa april 26 ,1964 .
Huu ndio ukweli
wazanzibar hatusahau katu udhalimu huu
Pasipo na Tanganika kutakuja kupatikana pemba, unguja na tanganyika muda si mrefu[/QUOTE
nakuelewa kanisa ndivyo linavyodanganya kuhusu unguja na pemba , masikini akili za kondoo zimekuwa kama kondoo kweli ,
Hivi kabla ya huo uvamizi kulikuwa na nini ???
HOFU YA ZANZIBAR HURU NI UISLAMU KWA SABABU KANISA LINAOGOPA KONDOO WATAGEUKA WATU NA KUANZA KUUONA UKWELI