Muungano au mgongano au mchafuano

miftaah

Member
May 31, 2012
30
5
Kwa muungano huu sisi wazanzibari hatuutaki, tunautaka muungano wenye faida kwa pande zote mbili...Na tuna sababu za kusema kuwa muungano huu wazanzibari hatuutaki, watakaonuna na wanune ila tutazidi kusema kua muungano huu hatuutakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na kma kuvunjika na uvunjike maana sio faradhi kuwa nao
 
Unaweza kutoa mifano michache ya namna msivyofaidika (zanzibar) na namna tunavyofaidika (watanganyika) na huo muungano??
 
Back
Top Bottom