muundo wa serikali kwenye katiba mpya

emma 26

Senior Member
Oct 29, 2010
108
2
kwa njisi ilivyo binafisi nilipendelea serikali ya umoja wa kitaifa ambayo: chama kitakacho pata wabunge wengi kinaunda baraza la mawaziri,waziri mkuu atoke kwenye chama cha kikuu cha upinzani ili asimamie kwa ufasaha baraza la maziri, kuwe na mkuu wa mkoa lakini asiwepo mkulugenzi wa jiji.kuwepo na idara ajira kwa ajiri ya watu wanaomaliza vyuo vikuu na iwe na matawi nchi nzima ili kuwawezesha vijana wote kupata ajira,ubunge uwe miaka kumi misho na kusitafu miaka 50 ili watu wengine wangombee. Nawasilisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom