Muulize kuku...

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
Naingia mgahawani kupata kifungua kinywa natengenezewa mayai matatu na vikorombwezo vyake..bili inakuja elfu tatu kwa mayai tu..nauliza kwanini mayai mnauza bei ghali hivyo?? Mhudumu anajibu..kamuulize kuku kwanini amefanya mayai kuwa ghali hivyo??
 
Amekujibu kamuulize kuku usimjibu we uchubue!
Sakafia kwanza hiyo miyai , ukimaliza unaanza kuchapa lapa bila kulipa.
Atakwambia "we mbona unaondoka bila kulipa?"
mjibu
"ziulize hela kwanini hazilipi ?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom