Muuguzi na mtaalamu wa maabara

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Wanahitajika wauguzi wawili, na wataalamu wa maabara ya binadamu, wenye sifa hasa waliosomea vyuo vya binafsi watafikiliwa kwanza

Wenye intrest wanitumie private massage niwape contuct zangu

Kituo cha kazi ni mbagala Dar es salaam

Wasio na familia watalipiwa chumba kwa miezi 3 ya mwanzo kwa huko huko mbagala.
 
Back
Top Bottom