Muuguzi adaiwa kumpiga mgonjwa wakati akimuhudumia jijini Mbeya

Hivi kama wamama wajawazito wote wanaochapwa makofi ili waache uzembe wakati wa kujifungua wangesemelea. basi wakunga Wengi wangeshafukuzwa kazi
serikali naona inaongeza chuki baina ya wagonjwa na watoa huduma
haki itendeke wasijemwonea huyu nesi watasababisha matatizo zaidi
 
Huyo mama aliyepigwa ana shahidi ambaye ni mgonjwa? Je mama huyo kapewa PF 3 na kuonwa na daktari ambaye ni neutral? Kafungua RB namba ngapi? Partogram na APGAR Score zilikuwaje ilikujua progress ilikuwa rafiki au la? Je kuna njia nyingine ya kufanya rescustation zaidi ya kifuani? Na njia rahisi ya joto kwa mtoto ni kumweka wapi? Je Mzee Makalla ana ruhusa ya kuangalia file la mgonjwa?
Maswali yako muhimu sana....hawa wanasiasa hadi kero
Siku hizi usishangae kumkuta diwani anataka kuingia Labour au theater...... Nachukia sana wananchi wanavyojenga mazingira ya chuki kwa wahudumu wa afya!!!
Hii itafanya hata siku moja nisijenge urafiki wowote na Mgonjwa na bila kufata taratibu husika hakuna msaada ataoupata...
Naona hata huu Uzi umejaa watu wenye IQ za 20-25 wanaropoka ovyoovyo bila hata kufikiria....
Mkuu wa mkoa kama kwel aliamua kushika file la Mgonjwa basi at least angejaribu kufikiria kidogo kuliko kukimbilia media na maagizo yanayochochea kutumbuana...
Mangapi kwani wahudumu hukerwa na wagonjwa lakini ukifikiria unaacha tu...Mimi nildhani haya yangetokea endapo mtoto/mama angefariki...
WOTE WAKO HAI ILA MAMA AMEJAA USWAHILI.
 
Oyoooo acha kutukejeli
 
No research No right to say
kama uchunguzi ungekuwa umefanyika na ikabanika kweli kafanya kitendo kile hapo ndo tungesema bt now ni fununu tu

Watanzania tunapenda sana kushabikia mambo ambayo hatuyafahamu vizuri ndo maana huwa inatugharimu.
 
Back
Top Bottom