Muswada wa Katiba: Wafumuliwa kupenyeza criminal offenses kali kwa Watakaopinga baada ya kuwa sheria

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
Ni Tetesi but will soon be confirmed:
baada ya kupima kipima joto cha nje ya bunge, madam spika ameumwa sikio na baadhi ya vingunge wa magamba atoe muda kwa madam waziri ili apate muda wakushauriana na wabunge nguli na staunch wa CCM na kuweka sheria kali tena kali kwa yeyote atakayethubutu kuuelezea tofauti ama kupinga kwa namna yeyote ile Nasikia hakutakuwa na option ya faini ni Kifungo tu for maximum of up to 5 years:

Kama hivi ndivyo itakuwa hivyo, ni Moto kwenye Petrol: ;aman Busara iko Wapi??? But why my poor Tanzania! Mungu huko wapi? .bona unatuacha waja wako? we are turning into devils!
 
Liacheni hilo lije tena litarahisisha matarajio yetu kwamba ni lazima siku moja tutiane kibano ili tuheshimiane...hapa ni kurudi chimbo ili kuendelea kujiweka fiti tayari kukwanguana mchana kweupe
 
Bila kutiana kibano ccm hawatamheshimu mtu yeyote.
 
Kwa hiyo muswada huu ungepitishwa no matter what..maanake upinzani wasingeweza kushindana na CCM 300..
 
Viongozi wote ambao nchi zao zimewashinda ni kwa sababu ya kuwanyima haki wananchi wake na matokeo yake wamepinduliwa kwa nguvu ya umma.
 
Ni Tetesi but will soon be confirmed:
baada ya kupima kipima joto cha nje ya bunge, madam spika ameumwa sikio na baadhi ya vingunge wa magamba atoe muda kwa madam waziri ili apate muda wakushauriana na wabunge nguli na staunch wa CCM na kuweka sheria kali tena kali kwa yeyote atakayethubutu kuuelezea tofauti ama kupinga kwa namna yeyote ile Nasikia hakutakuwa na option ya faini ni Kifungo tu for maximum of up to 5 years:

Kama hivi ndivyo itakuwa hivyo, ni Moto kwenye Petrol: ;aman Busara iko Wapi??? But why my poor Tanzania! Mungu huko wapi? .bona unatuacha waja wako? we are turning into devils!

Mkuu, ikitokea hivyo watakao-loose ni wao wenyewe. Asilimia kubwa ya watanzania ni poor; maisha yao ni kama tu wako jela. Fujo ikitokea vitakavyoharibika ni mali na investment za hao hao wakina JK, Anna Makinda & co. Lazima wajifikirie mara mbili kabla yakulifanya hili. Lakini sitashangaa likitokea pia maana chini ya uongozi wa Luteni Kanali sidhani kama kuna negotiations. Labda ndio wakati muafaka wakufikiria upya kutowapa hawa wanajeshi uongozi nje ya taaluma zao. Ni wanajeshi wachache sana wanaokubali negotiations (wao demokrasia kwao iko kwenye paper tu na sio kwa vitendo).
 
Wamekaa Uchi tumekuwa tunawatazama tu, sasa hicho kitu CCM wanachotaka kujitumbukiza mkiani, inabidi tuwakamate kwa nguvu na kuwafunga kamba mikono na miguu. Hawa sasa ni Vichaa, kitawasababishia wazae mtoto asiye na baba.
 
Ikiwa kweli swali wanazo fedha za kutosha kuhudumia wafungwa wote wa kisiasa nchini? Na wanayo hayo magereza!? I pray wapitishe kitu kama hicho.. I really do.

Mzee umesharudi bongo? si ulikuwa majuu wewe au ni mzee mwanakijiji mwingine.
 
thi thi emu bwana !!! yaan ni vichekesho kila kukicha, tundu lisu kawachanganya sana watu hawa mpaka wamekoma, mi naamini ccm huwa wanakaa vikao kila siku kumjadili Lisu!
 
Liacheni hilo lije tena litarahisisha matarajio yetu kwamba ni lazima siku moja tutiane kibano ili tuheshimiane...hapa ni kurudi chimbo ili kuendelea kujiweka fiti tayari kukwanguana mchana kweupe

Kweli kabisa, tuzidi kujipanga,hata panga tu unaondoka na sikio la fisadi (any ccm member)sio haba, ndipo tutaheshimiana
 
Ni Tetesi but will soon be confirmed:
baada ya kupima kipima joto cha nje ya bunge, madam spika ameumwa sikio na baadhi ya vingunge wa magamba atoe muda kwa madam waziri ili apate muda wakushauriana na wabunge nguli na staunch wa CCM na kuweka sheria kali tena kali kwa yeyote atakayethubutu kuuelezea tofauti ama kupinga kwa namna yeyote ile Nasikia hakutakuwa na option ya faini ni Kifungo tu for maximum of up to 5 years:

Kama hivi ndivyo itakuwa hivyo, ni Moto kwenye Petrol: ;aman Busara iko Wapi??? But why my poor Tanzania! Mungu huko wapi? .bona unatuacha waja wako? we are turning into devils!

Good! If confirmed itakua hatua nzuri! We need oppressive laws ili kuwaamsha zaidi wananchi. Sheria hizo ndio zitakua chanzo cha anguko lao.
 
mimi naona watapenyeza kipengele cha uhaini na adhabu yake ni kuuawa ndani ya masaa 24 sababu hawana jela za kutosha...
 
Yaani huu ni ULEVI tu wa madaraka. Yaani mpaka mtu kuja kufikiria kitu kama hicho atakuwa kalewa tu na si pombe, huenda mikojo. Itakuwa vyema kutunga hiyo sheria maana siku JK anaisaini ndiyo itakuwa siku yake ya kwanza baada ya muda mrefu kwenda kuishi kwao sijui Kasoga, sijui Chisoga wherever permanently kama si Segerea . Watanzania hawatakubali kuchezewa kiasi hicho kwa ajili ya manufaa ya kikundi fulani. Hizi busara zikisafiri sijui ni kwa nini zinachelewa kurudi.
 
Naunga mkono hoja kwa kweli!
Busara huwa hazipo!
Yanatumika Masaburi kufikiri
 
hana jeuri hiyo bi kiroboto...kwanza hata haelewi nini kinaendelea
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom