Muswada wa Katiba Mpya: Hotuba ya Msemaji wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni (Tundu Lissu)

Hivi kweli hawa wabunge wa CCM wanataka kusema hawaoni LOGIC katika hayo yote yaliyoelezwa na Mkubwa huyu????? Kama ni kweli hawaoni??? I just can't imaging how "mbumbus" they are!!!!
 
Magamba wanajuvunia 2 wingi wao ila siyo ubora. Kwangu mm magamba ni kama wanamgambo na wapiganaji ni Makomandoo(eg SEAL- Sea-Air-Land).
Kinachonishangaza je kwa hawa magamba ni yakua hata wakiambiwa hawasikii, wakionyeshwa hawaoni...... Wengi wao yafaa kuwaita ZUZU (zuzu - mtu asiyeelewa na asiyetaka kuelewa ni tafsiri toka kwenye kamusi ya kiswahili- TUKI)
 
Ni hotuba nzuri sana. Tundu Lisu Hongera tupo pamoja hawa watu wameshazoea kupeana madaraka makumbwa.
 
Habari za asbh wadau,

Kwa mtu ambae ana ile Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani bungeni iliyosomwa na tundu lissu ya sheria ya mabadiliko ya katiba 2011 aniwekee/atuwekee hapa.Hii itatusaidia kukumbuka vizuri ni mambo gani chadema waliyapigania na ni yepi hadi sasa rais tayari kwa kuyakubali.

Pamoja na kwamba sio yote yatakayokubaliwa ila natanguliza pongezi zangu kwa chadema kwa kitendo chao cha kupigania sheria hyo kurudi bungeni na kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom